MZIMU
JF-Expert Member
- Apr 29, 2011
- 4,058
- 1,377
Kwa Mwanamume yoyote asie wajua vizuri kina mama, Huishia kufilisika na kujinyonga ua kuua watoto wake, au Ndugu zake au watu wasio husika.
Kwanza kabisa, wanawake sio watu wa ahadi in the name of Love. Wanaume wengi sana wanahangaikia kinamama kwa lengo la Mapenzi. Wako tayari kufanya lolote ili wawaridhishe wapenzi wao ili waweze kuinjoi tendo la ndoa na kupata familia. Kwa upande wao kinamama wanaangalia zaidi LIFE SECURITY. Mara nyinyi sana ni wepesi kusahau au na kutokutii ahadi yoyote waliowekeana na wapenzi wao mara wapatapo fursa nzuri zaidi ya LIFE SECURITY.
Mfano:-
a). Hubeba mimba miezi tisa halafu wanamuua mtoto kwa kumtupa chooni au kumnyonga.
b). Wote waliosomesha wapenzi wao kwa gharama na wengine kwa kujinyima sana, mwisho wa yote walimwagwa wakabaki maskini.
c). Sio jambo la ajabu kunywa sumu na kuwapa sumu wanae.
d). Sio ajabu kufanya umalaya ili kumkumoa Mzazi wake au Mpenzi wake wa zamani.
e). Huweza kutongozwa leo bila kupanga na kufanya mapenzi na mtu asie mjua leoleo kwa sababu ameweza kumsifia vizuri na vigezo vya LIFE SECURITY. Ingawa huyo mtu hatamuona tena
e) Mwili wake ni silaha ya Maangamizi kwa mtu yoyote anapozidiwa katika kupata mahitaji yake. Mfano Ajira, Elimu na hata katika kukwepa mkono wa sheria.
g). Wengi wao hupenda kuwanyonya wanaume katika matumizi ya kimaisha. Wanaita chuna buzi.
h). Huchukua Maamuzi magumu kwa haraka na hupata matokea mabaya sana na kubaki kujuta. Mfano Akiwa na hasira huweza hata kuvua nguo zake akatembea uchi au kupigana na mtu asie Muweza kabisa.
Kwa Muktadha huo ndio tunasema kua. Wanawake ni zaidi ya Binadamu, kwa Maana huwa na sifa ambazo sio za kibadamu wa kawaida yaani Wanaume.
etc. Wadau mnaweza kuendeleza