Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Uwekezaji Tanzania umekuwa ni wimbo unaoimbwa kwa furaha hususan wawekezaji kutoka nje ambao tumewakaribisha kwa mikono miwili huku tukiwaona ndio wakombozi kwa maendeleo na uchumi wetu.
Lakini je, wananchi waendelee kuwategemea wawekezaji kwa kila kitu?
Hebu soma zaidi hapa => Je, wananchi wana haki ya kuwategemea wawekezaji? | Fikra Pevu
Lakini je, wananchi waendelee kuwategemea wawekezaji kwa kila kitu?
Hebu soma zaidi hapa => Je, wananchi wana haki ya kuwategemea wawekezaji? | Fikra Pevu