Je wamjua adui wako

Je wamjua adui wako

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,780
Reaction score
8,155
Je wamjua Adui yako .

Kumbuka Wewe ni roho.

Roho haifi ,inaishi milele yote ,

Adui yako ni Mwili na Nafsi.

Mwili na Nafsi ni marafiki.

Mwili na Nafsi huenda kinyume na roho inavyotaka.

Mwili unapenda majivuno,mwili unapenda kula ili ushibe,mwili hupenda ubinafsi na vyote vya mwilini,mwili unapenda uoe mke mzuuri,mwili unapenda sifa na vyoote vile vya kimwili.

Hivyo Adui yako sio shetani ,Wala mizimu,kama wengi wanavyodhani.
 
Mwili ni adui dhaifu sanaa... Ila ni vigumu kuushinda.. Uasherati, Ulevi, Ulafi.. Yote ni Tamaa za mwili... Mbali ya kuwa dhambi bali pia ukishinda tamaa za mwili unakuwa salama kiafya..
Hakika mkuu kushinda matakwa ya mwili inahitaji kuwa na nguvu ya kiroho
Maana vitu vinavyofanya tuende kinyume na mapenzi ya Mungu huanzia ndani ya miili yetu

Kiburi ,Dharau ,fitina, husuda , na mengi zaidi ya hayo
 
Utu wa ndani ukiwa safi
Je wamjua Adui yako .

Kumbuka Wewe ni roho.

Roho haifi ,inaishi milele yote ,

Adui yako ni Mwili na Nafsi.

Mwili na Nafsi ni marafiki.

Mwili na Nafsi huenda kinyume na roho inavyotaka.

Mwili unapenda majivuno,mwili unapenda kula ili ushibe,mwili hupenda ubinafsi na vyote vya mwilini,mwili unapenda uoe mke mzuuri,mwili unapenda sifa na vyoote vile vya kimwili.

Hivyo Adui yako sio shetani ,Wala mizimu,kama wengi wanavyodhani.
Utakuwa salama dhidi ya adui mwili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom