nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 11,724
- 12,002
Rene Huguita.
Alipata kuishi katika sayari tuliomo.
Anatoka katika nchi ya Colombia.Mpira kwake ilikuwa ni furaha vituko na vihoja.
Mara nyingi alitoka golini kwake kwenda mbele kuongeza mashambulizi na kupata mabao.
Alikuwa ni mfungaji mahiri wa free kick.
Pichani anaonekana akitumia miguu kuzuia bao,badala ya mikono,hakuna golikipa aliye wahi kuishi katika sayari hii akathubutu mchezo kama huu,manek huko kwao bao likiingia kwa uzembe kama huu,wanakufuturu mapemaa.
Amefanikiwa kushiriki kombe la dunia mara kadhaa.
Huyu jamaa anadaka si masihara.
Anazuia bao kwa miguu.
ni mchangamfu na hutoa maelekezo.
Anaheshimika na pengine ni mwanachama mwenzetu.