Je, Wamasai ndio mfano wa kuigwa?
Picha by
Mtanzania, 3/2/11
View attachment 31485
Hapo yaani wameshajikwatua kwa ajili ya kwenda "out" kumwona daktari!
Watanzania wengine wanavyoona Wamasai kama mfano wa kuigwa na wanapendelea viongozi wa taifa watoke huko au kabila linalofanana-fanana kimaendeleo na hilo. Hebu fikiria, kama tungetawaliwa na Wamasai badala ya Waingereza leo tungekuwa tunavaaje, tunaishi makazi ya namna gani, tunakula na kunywa nini, tunakwenda haja wapi, tunasafiri vipi, n.k.?