Je, waliorisiti wanaweza kuchaguliwa na NACTE?

B

brian mweusi

Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
5
Points
45
B

brian mweusi

Member
Joined Feb 11, 2019
5 45
Wana JF habari,

Mimi nmemaliza form 4 mwaka 2017 nilipata matokeo ambayo sio mazuri sana, nlipata F ya math na D 3 na C tatu. Nikaamua kurisiti mwaka 2018 na kufanya math ambayo nlikua na F na nkachagua civic D na chemistry D

Baada ya matokeo kutoka nilipata C kwenye math na chemistry ila civics ilibaki D, vigezo ambavyo ninavyo kwa sasa ni math C, chemistry C ,bios C, phy D ,English C .

Je, ninaweza kuchaguliwa na NACTE kwenye course ya clinical medicine? ninaomba kujulishwa na nmeapply vyuo vitano.
 
JAPHA ED

JAPHA ED

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2016
Messages
373
Points
250
JAPHA ED

JAPHA ED

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2016
373 250
Utachaguliwa mkuu usihofu ila ni bora ungeomba na private pia ili kujihakikishia nafasi zaidi maana huko nacte ushindani uliopo sio poa na wanaanza kuchagua wale wenye ufaulu wa juu.
 
B

brian mweusi

Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
5
Points
45
B

brian mweusi

Member
Joined Feb 11, 2019
5 45
Utachaguliwa mkuu usihofu ila ni bora ungeomba na private pia ili kujihakikishia nafasi zaidi maana huko nacte ushindani uliopo sio poa na wanaanza kuchagua wale wenye ufaulu wa juu.
nliapply mapema lkin
 
JAPHA ED

JAPHA ED

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2016
Messages
373
Points
250
JAPHA ED

JAPHA ED

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2016
373 250
nliapply mapema lkin
Hata ungeaply wa kwanza na mwenye one akaaply wa mwisho bado yule mwenye one angepata nafasi kwanza kinachoangaliwa ni ufaulu wa daraja la kwanza la pili na kuendelea
 

Forum statistics

Threads 1,326,479
Members 509,513
Posts 32,222,844
Top