Je, wakimaliza kununua wapinzani kitafuata nini?

NDOTO KAVU

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2011
Posts
1,513
Reaction score
1,121
WanaJF, nimetafakari sana katika hiki kipindi cha misukosuko Kwa viongozi wa upinzani na raia lakini badò kichwa haijatulia Kwa sababu majibu sipati.

1. Kwa nini CCM inajiamini namna hiyo?

2. Kwa nini Serikali inatumia nguvu kubwa kuwazibiti upinzani na kujifunika na shuka la kufuata sheria wakati tunaona viongozi wengi wa Serikali na CCM wanavunja sheria hadharani?

3. Je Serikali inajiamini kuwa katika Jeshi ndani yake hakuna wanaowapenda wapinzani au hakuna wapinzani lakini upo rohoni au hawana ndugu au watoto ambao ni wapinzani?

4. CCM Kwa nini hawajiulizi watu wanakichukia chama chao? Ni nani anapenda kufanyiwa mabaya na kama hawataki mabaya Kwa nini wanawafanyia wapinzani na raia wake hivyo. Ukiangalia ajira hakuna, watu wanafukuzwa makazini, watu wamevunjiwa nyumba, wanafunzi kunyimwa mikopo. Haya aliyafanya nani au ni nani anatakiwa afanye?

5. Kwa nini Serikali haisikilizi kilio cha wananchi wake kuhusu ajira na hali ngumu ya maisha?

6. Lengo lao Kwa wananchi na viongozi ambao hawaiungi mkono CCM ni nini? Kwa nini wanapenda watanzania wote tuwe ndiyo? Maendeleo hayawezi kuletwa na upande mmoja hata siku moja. Na tukikubali kunyamazishwa tumekwisha. Kwa Kweli wananchi wa Buyungu wameonyesha ujasiri mkubwa na kutoa hisia na matumaini Kwa upinzani na tunategea kupata viongozi wenye damu ya upinzani.

Hatujui hatima ya wapinzani na raia ambao watakomaa bila kwenda upande wa pili. Mungu ibariki Tanzania.
 
Wakumaliza kuwanunua wataanza kuwauza wana ccm
 
Umeongea vyema sana mkuu ila kuna mahali umeteleza najua wewe ni binadamu ila ukianza kutoa hoja za ajira na mikopo hapo unakosea hakuna serikali iliyojitahidi kutoa mikopo ya elimu ya juu kama hii mzee na malalamiko yamepungua sana ama kwasababu sasa hivi wamejua njia za kuthibiti hii nasema kwasababu ni mnufaika na huwezi kukwepa kulipa popote duniani
.
.
La pili kuhusu ajira nimeangalia takwimu za miaka kumi ya mtangulizi wa raisi huyu aliepo madarakani na za mtangulizi wake nimeona miaka kumi ya jk ni miaka miwili na nusu ya huyu so hoja ya ajira usiingize na kwa taarifa yako issue ya ajira ni global issue leo hii shirika la takwimu south africa wameonyesha un employnment rate imepaa sana kutoka 26% mpaka 27%
.
.
Kinachoniumiza ni kuharibu upinzani ambao ndio uliomleta raisi huyu madarakani bila upinzani imara asingetokea magufuri imara nadhani hapo ndio kunatatizo
 
Wapinzani wa ccm ni hospitali za umma kuwa mbovu, kukosekana kwa maji safi, kukosekana ajira, barabara mbovu, umeme changamoto, masikini na wanyonge kuwa wengi maana hata wao huwa wanasema hii ni nchi ya masikini na wanyonge. Kwa hiyo kupunguza nguvu upinzani (sio kuua upinzani) watatue kero za wananchi kwa kiwango kikubwa.
 
Wakimaliza kununua wapinzani wataanza kuwauza wafiachama
 
Wakumaliza kuwanunua wataanza kuwauza wana ccm

Wakimaliza hili la kununua wataanza kuuza waleeee type ya kupigiwa mashangazi zao ila nafikiri watachanganya mali mpya mpya na kuuu kuuu ili kuwachanganya watu wasijue nini kinachoendelea
 
Kuwa mwana ccm inahitaji moyo wa chuma
 
Watu washapata dili. Ukitaka hela nenda upinzani ukawe ngangari. Hela itakuja
 
Kuwa mwana ccm inahitaji moyo wa chuma
Sema mwanasiasa,yahitaji moyo wa chuma ,si unaona technology inavoumbia wala matapishi.
Screenshot_2018-07-30-18-49-18.jpg
 
Upinzani si chama bali ni watu wenye mawazo tofauti,kila sehemu upo hata ndani ya wajionao ni wamoja kuna upinzani,
Hivyo basi upinzani hautakufa milele,hata wakinunua chama kizima
 
Umeongea vyema sana mkuu ila kuna mahali umeteleza najua wewe ni binadamu ila ukianza kutoa hoja za ajira na mikopo hapo unakosea hakuna serikali iliyojitahidi kutoa mikopo ya elimu ya juu kama hii mzee na malalamiko yamepungua sana ama kwasababu sasa hivi wamejua njia za kuthibiti hii nasema kwasababu ni mnufaika na huwezi kukwepa kulipa popote duniani
.
.
La pili kuhusu ajira nimeangalia takwimu za miaka kumi ya mtangulizi wa raisi huyu aliepo madarakani na za mtangulizi wake nimeona miaka kumi ya jk ni miaka miwili na nusu ya huyu so hoja ya ajira usiingize na kwa taarifa yako issue ya ajira ni global issue leo hii shirika la takwimu south africa wameonyesha un employnment rate imepaa sana kutoka 26% mpaka 27%
.
.
Kinachoniumiza ni kuharibu upinzani ambao ndio uliomleta raisi huyu madarakani bila upinzani imara asingetokea magufuri imara nadhani hapo ndio kunatatizo
soma tena ulichokiandika ktk hiyo point ya 2 na 3 labda utagundua makosa yako na kutajirekebisha mwenyewe
 
Back
Top Bottom