Je, Wakili Albert Msando anafaa ubunge wa Arusha Mjini?

Kule Tandahimba twenzetu na Harmonize..Igunga na Shishi baby
Hivi Bunge LA Tanzania kazi yake hasa ni IPI?Mbona naona watu wasiostahili nao wanautaka ubunge?
Wengi wanaoonekana ni wasanii sanii wanapitia uchochoro wa wanaofahamu kusoma,kuandika na kuhesabu(KKK) kwa tiketi ya Kijani/njano?
 
Nahisi kazi ya ubunge ni kazi rahisi kuliko zote yenye mshahara mnono. Kikubwa ujue kusoma na kuandika.
Mimi naona wangeongeza kiwango cha Elimu angalau iwe form four.
 
Watu wanaotakiwa kutunga sheria,kuisimamia serikali na kuwawakilisha Wananchi wawe Form Four Leaver?Hata bila mafunzo ya aina yoyote? Kama hata Mtendaji wa Kijiji tu anatakiwa kuwa na mafunzo ya uongozi,iweje mbunge sifa zake ni kufahamu kusoma na kuandika?
Tunatakiwa kuchukua hatua mapema sasa.Uchaguzi upo mbele yetu,tusifanye makosa tena.
 
mnajitambua au washamba wachangamfu.
Hayo matusi ndiyo yanawafanya tuwashangae zaidi,unawezaje kumtukana mwajiri wako wakati wa kuomba kazi(uchaguzi)?
Hali hiyo inatufanya waungwana tuamini kuwa hamtegemei kura zetu,MNA mbinu mbadala vinginevyo msingethubutu kuwatusi wapiga kura tarajiwa katika Mwaka wa uchaguzi?
 
SOMA ALICHOANDIKA HUYU NILIYE MJIBU NDIO UTAJUA NANI KATUKANA
 
Back
Top Bottom