Hao hua wanafanya hivyo huku wakiwa na hisia juu ya kitu flani.Wale wanaofanya meditation
Wanakaa mpaka dk 60 kwanini hawasinzii?
Sasa kwanini watu husinzia?Hao hua wanafanya hivyo huku wakiwa na hisia juu ya kitu flani.
Kwahiyo hapo kikawaida hawatulii hua Bado wanahangaisha fikra zao
Hii Ni kwa sababu hawasinzii.
Mbona hayo ya kusema kuto hangaisha fikra hukuyaelezea?Hao hua wanafanya hivyo huku wakiwa na hisia juu ya kitu flani.
Kwahiyo hapo kikawaida hawatulii hua Bado wanahangaisha fikra zao
Hii Ni kwa sababu hawasinzii.
Another question
Aliyemwambia naye kajitungiaJe, unajua chanzo cha usingizi?
Usingizi hutokea kwa binadamu endapo atatulia kwa mda unao kadiliwa kufikia dk15 pasipo kutikisika, Mtu huyo lazima asinzie.
Nyongeza: pia ukitulia kwa mda huo pasipo kutikisika huku umefumba macho lazima asinzie mapema zaidi.
Ikumbukwe Usingizi ni tendo lisilo la hiyari.
Meditation zipo nyingi, lkin msingi wa mengi ni ku freee mind yako, dhana ya kuhangaisha fikra zao si kweli.Hao hua wanafanya hivyo huku wakiwa na hisia juu ya kitu flani.
Kwahiyo hapo kikawaida hawatulii hua Bado wanahangaisha fikra zao
Hii Ni kwa sababu hawasinzii.
Another question
Umefanya research au?Je, unajua chanzo cha usingizi?