hata kama unandiyo najuwa
hata kama una
jua but hujui vngine,
yea!.itasaidia kwan watu wanatumia vifupisho vingi vya maneno bilaitasaidia sana kwa wale wasiokuwa na interest na technology
yea!.itasaidia kwan watu wanatumia vifupisho vingi vya maneno bila
kujua maana halisi.maneno Ya kawaida kama 3G,MP3,MP4,VIRUS,GPRS,SIM,SMS watu wanayatumia sana lakin hawajui maana zake.
hata mimi sikuwa na interest nazo but kuna siku nlitaka kujua tofauti ya 3G na HSDPA.from there ikanbdi nitafute their real meaning.ndo nkapata na haya mengine.mi sijui na wala sijisumbui kujua. kama mtu una internet 24hrs ya nini kukrem madude kama hayo!? nikitaka kujua kirefu chake nitagoogle
hii definition kutokana na electronics.kumbuka kuwa all computer virus are man-made.Virus sio kifupi cha kitu chochote, Virus ni neno, kam Virus ya HI(V)
hii definition kutokana na electronics.kumbuka kuwa all computer virus are man-made.
hii nimetoa kwenye glossary ya kitabu fulan cha electronics kinaitwa WORLD OF ELECRONICS.nafikiri walitoa hiyo maana kutokana na jinsi virus anavyofanya madhara kwenye electronic devices.Sio sahihi hicho kirefu ulichoweka Virus haina kirefu chochote ni neno linalotokana la Latin virus = sumu. Obviously all computer viruses are man made, sielewi point yako hapo.
nime c&p kutoka page fulan ila nimeongeza some terms.ukivijua wewe vinatosha....copy n paste aka c&p tupe source maana hamkawii kusema ...prepared by some one....
tayar ila me nmevuta wiki kadhaa!.Hamjafungua shule tu?