sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,225
Konokono wote ni "Hermaphrodites"
Kwa maana wanamiliki jinsia mbili (kiume na kike).
Kwenye kujamiiana wanaviziana, atakayeruhusu kupandwa ndiye atataga mayai.
Fikiria binadamu tungekuwa kama konokono na hizi akili zetu ingekuwaje?
Mkeo ukimzingua anakuvizia umelala anakupachika mimba.Mfano kiwatengu akizingua shansarie anamtaimu anampiga bend Arushaone naye akichelewa kurudi home Lady doctor anampiga mimba Mokoyo naye Munkari anamtaimu anampiga mimba Bishanga naye akirudi amelewa The secretary anampinga bend Baba V naye anapigwa mimba,mwenyekiti Erickb52 naye anapigwa mimba watu8 kizazi kimeisha yeye hawezi kushika mimba!Unadhani itakuwaje?

Last edited by a moderator: