je wajua?

je wajua?

Elijah

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
1,663
Reaction score
424
kwamba kuna watu 876549871098766 wanaoongoza kwa uvivu hapa duniani? wewe ni mmoja wao kwani hujajisumbua kuisoma hiyo idadi,uongo kweli?
 
sio suala la uvivu,kuna mambo hayana maana i cnt waste my tym on them.hiyo namba inaonekana ni kubwa kuliko hata idadi ya watu duniani so why would i waste my fcking time readin it?
 
Idadi ya watu duniani hata ukiizidisha mara 10 huwezi kupata tarakimu uliyoiandika haposasa sijui unajumuisha na waliotangulia mbele za haki au vp
 
sio suala la uvivu,kuna mambo hayana maana i cnt waste my tym on them.hiyo namba inaonekana ni kubwa kuliko hata idadi ya watu duniani so why would i waste my fcking time readin it?

Kula 'Like' mazee
 
Back
Top Bottom