JE WAJUA?

xtaper

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
3,318
Reaction score
4,711
Binadamu hana uwezo wa kutofautisha harufu pindi akiwa amelala usingizi. Mfano ukiweka pilau pembeni yake hatohisi harufu yoyote mbaka pale atakaposhtuka toka usingizini.

Ongezea nyingine.
 
Binadamu hana uwezo wa kutofautisha harufu pindi akiwa amelala usingizi. Mfano ukiweka pilau pembeni yake hatohisi harufu yoyote mbaka pale atakaposhtuka toka usingizini.

Ongezea nyingine.
Choma kitu ndani kama hataamka nakuhisi moto
 
Binadamu wa kiume akitaka kukojoa katika mazingira machafu sana, hasa choo kichafu, hutema mate kwanza.
Hii mm mwenyewe sijui kwann hutokea hv
Wanaume wakiwa wanakojoa ni marufuku kuangaliana vikojoleo, haijaandikwa kokote ila ni kanuni dunia nzima.
 
Mende huchukia zaidi akiguswa na binadamu. Hutafuta eneo tulivu na kujisafisha mpaka aridhike maana kwake binadamu ndio mchafu kuliko kila kitu
 
Mwanadamu nyumba ikiungua hawezi sikia harufu yeyote ya moshi mpaka aungue mwili akishituka, too late....anakuwa mshikaki tayari.
 
Wazaramo ni jamii pekee inayotamka na kutumia maneno 'mwali' na 'ngoma' ipasavyo
 
Tz ni nchi pekee duniani ambako hupiga vigelegele ku-appreciate kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…