Uchunguzi wa kitaalamu umebaini kuwa paka anaporushwa hewani hupoteza fahamu na kurudiwa baada ya sekunde 30. Sasa anaporushwa toka gorofa ya saba, hupoteza fahamu na kabla haijarudi hufika chini na kujibamiza na kufa. Akitoka gorofa ya 14 hurudiwa na fahamu kabla hajafika chini na hivyo, akiwa hewani ana uwezo wa kujigeuza na kichwa kuwa juu, mgongo hunyooka na vilevile ana uwezo wa kupunguza spidi ya kushuka na hata anapotua hutua kwa spidi ndogo bila madhara yoyote!