Kama ulikuwa
hufahamu basi acha nikufahamishe, "M-MBU JIKE YEYE
NDIYE ANAYENYONYA DAMU, LAKINI KUMBE M-MBU
DUME, YEYE NI VEGETARIANS, YAANI ANAKULA
NYASI..!!

Kuna mbu wanaosababisha magonjwa mbalimbali kama vile:-
1. Malaria
2. Zika
3 . mabusha
N.k. sasa wewe unazungumzia mbu wanaosababisha ugonjwa upi?, tuanzie hapo ili tujue jinsi ya kukuelimisha kulingana na upeo wako