Kila ifikapo mwanzo wa mwaka usijaribu kumuhadithia mtu ndoto ulioota usiku wa tarehe 31 disemba kwani ndoto zingine huwa ni za kweli. Haya sikiliza kisa hiki cha kijana wa japan. Lui xu ni kijana wa mzee xu wung. Mzee huyu ana watoto 3 tu. Ilipofika tar 1 baba watoto hao alitaka kila mtoto amuhadithie ndoto aliyoota usiku. Lui xu alikataa kumuhadithia baba yake, akaamua kumfukuza. Kwan aliota amekuwa mfalme wa masharik na magharibi. Wakat yuko njian alikutana na tai mkubwa, tai akamuuliza mbona unatembea porin peke yako? Akajbu baba amenfukuza kwa kuwa nimekataa kumuelezea ndoto yangu. Tai akasema bas niambie mimi. Akamwambia nichukue kwanza ndpo ntakapokwambia. Akafkishwa kwa zimwa. Zimwi akaambiwa kama alivyoambiwa tai. Zimwa akampa dawa inayotbu magonjwa sugu yote ili aambiwe lakn hakumwambia. Akatembea na kufka nch ya mashariki. Alimkuta mfalme anaumwa sana. Alimtibu na mfalme akampa ufalme. Pia mfalme wa magharb alisumbuliwa tena naye almtbu na kumpa ufalme. Akawa mfalme wa nch alizoota na akapewa wake.