YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,995
Kuna propaganda huwa zinapigwa na watu wa Ulaya na marekani wakiungwa mkono na wapiga filimbi wa Hamelini kuwa pesa wanazotoa misaada Tanzania huwa ni za walipa kodi wa marekani au ulaya!!!!! Si kweli.Pesa hizo ni za watanzania.
wanachokifanya ni kuwa makampuni yote yanayofanya biashara tanzania ya ulaya na marekani hutakiwa kutoa kiasi fulani cha pesa kutoka kwenye faida wanazopata Tanzania na kuzipeleka kwenye mashirika yao ya misaada halafu hayo mashirika ya misaada ndipo yanakuja na masharti ya kuua mtu kwa pesa waliyopata nchini kwenu
Mfano mgodi wa dhahabu wa marekani ulioko Tanzania unapata faida dola trilioni 10 .Wanatakiwa katika faida hiyo wachangie trilioni mbili MCC.Halafu MCC inakuja kujadiliana na Tanzania inasema tuna triloni 2 tutakazowapa awamu mbili tunataka tuwape msaada ila mnatakiwa mkubali ushoga na mhakikishe uchaguzi wenu mnaufanya tunavyotaka sisi.Hamtaki hatuwapi!!!
Hizo pesa za msaada wa marekani ni pesa walizopata hapa hapa Tanzania kwa kuuza komputa na laptops za HP,DELL,APPLE,nk na softaware za microsoft,ORACLE nk.
Ni pesa walizopata hapa hapa Tanzania hazitoki marekani wala Ulaya.
Na hizo pesa wanazotoa zingine ni sehemu ya zile tunazowasaidia kutolipa kodi(tax holiday) UNAWASAMEHE KODI YA TRILIONI TATU wanasema ok tutoe trilioni moja shirika la misaada la MCC wawape.