The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 8,550
- 20,342
GT
Jamani huwezi kupambana na nature. maCCM nawaonea huruma. Mnaumwa halafu hamtaki kumwona daktari.
Hii nguvu mnayotumia kwa sasa kupambana na upinzani haijwahi kutokea Lakini pia mwamko wa watanzania kuwakataa ninyi upo katika kiwango cha juu mno katika historia ya Tanzania.
Je mtaweza au ndo mnaenda kufa kibudu? aha 😄 🤣 😂 yetu macho na masikio.
Tukutane leo saa2 usiku the 21st to remenber