Je, wajua kuwa Mkapa anaweza kushitakiwa? Kinga ya kutoshitakiwa haihusu Rais kufanya biashara Ikulu

Kwa system yetu hapa bongo inavyoenda, let alone kushtakika naamini kabisa kuwa itachukua karne nyingi sana kwa viongozi waliokaa ikulu kusimama kizimbani na sababu zangu ni hizi hapa;

Moja; Tumeshuhudia marais kuanzia wa pili mpaka wa nne( huyu wa sasa sijapata clues) walikuwa ni watu wa "SPECIAL BRANCH"; naanza kukuchambulia nikianza na Mwinyi. Mzee Mwinyi alishakuwa waziri wa Internal affairs ambapo kwa wale mnaofuatilia vizuri mawaziri wa wizara hiyo huwa ni watu wa " SPECIAL BRANCH" kwa kuongezea pia ukitaka kuthibitisha hilo kwa wale ambao mlikuwa na ufahamu kidogo miaka ya themanini na tano zile siasa na harakati alizofanya Mwinyi baada kujiuzulu,kuukwa urais z'bar na kisha urais wa Jamhuri kulidhihirisha Mwinyi ni MTU wa aina gani.
Nikienda kwa BIG BEN nae aliwahi shika wadhifa(foreign affairs) ambao pia ni wa watu wa "SPECIAL BRANCH".
Yule wa nne nae aliwahi shika wadhifa(foreign affairs) ambao pia ni wa watu wa "SPECIAL BRANCH".

Naishia hapa!
Kuwa special branch ndiyo kinga ya kutokushitakiwa? kama waliweza kumshughulikia mkurugenzi wa hiyo special branch yako hawa wengine inashindikana nn?
 
927ce60eb05d96186ae4062ed0991f00.jpg
 
Kuwa special branch ndiyo kinga ya kutokushitakiwa? kama waliweza kumshughulikia mkurugenzi wa hiyo special branch yako hawa wengine inashindikana nn?

Hebu recall incidence yenyewe kwanza, huyo mzee kwanza alikuwa technically amesha "defect" "SPECIAL BRANCH" . Kama ame"defect" kwanini isiwe rahisi kumshughulikia?

Nani wa kumshitaki BIG BEN?!! Au JK wa msoga?!! Tuanzie hapo kwanza.
 
Wanabodi,

Matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii ni pamoja na wanamtandao wenye kujua jambo fulani, kuwaelimisha wengine ili tuu kuwajuza, hivyo hili ni bandiko elimishi.

Tanzania ni nchi huru inayotawaliwa kwa mujibu wa katiba inayoheshimu utawala wa sheria, taratibu na kanuni, rais ndie Mkuu wa nchi anayechaguliwa kwa mujibu wa katiba, na kuapa kuilinda, kuiheshimu na kuitekeleza katiba kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni.

Katiba imeweka majukumu ya rais ikiwemo rais wetu anaweza kufanya nini na nini hapaswi kufanya akiwa Ikulu.

Katika kumpa uhuru rais wetu katika kutekeleza majukumu yake ya kirais, katiba imempatia rais wetu kinga ya kutokushitakiwa.

Ila pamoja na kuwepo kwa kinga hiyo haimaanishi kuwa rais wetu anaweza kujifanyia kila kitu alimradi yeye ni rais akiachwa tuu huku tukimwangalia, No!, rais wetu anapaswa kila asemalo, afanyalo na atendalo liwe ni kwa mujibu wa katiba na kwa maslahi ya taifa.

Je Wajua Kuwa Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Kwa Baadhi ya Mambo Aliyoyafanya na Kuyatenda Akiwa Ikulu Yetu ya Magogoni, Anaweza Kabisa Kushitakiwa na Akikutwa na Hatia Akahukumiwa Kama Mhalifu Mwingine Yoyote?.

Ile kinga ya rais kutokushitakiwa haihusu mambo yote rais aliyoyatenda akiwa Ikulu. Kinga ya kutokushitakiwa inahusu mambo tuu ambayo rais ameyatenda katika kutimiza majukumu yake ya kirais, yaani ile kinga ya rais kutokushitakiwa inahusu discharging presidential duties only and not otherwise!.
Ushauri wa bure kwa CCM: Hope for the best but get prepared for ...
Sheria yenyewe inasema hivi

Hii maana yake kama rais amefanya makosa mengine yoyote wakati akiwa Ikulu, na makosa hayo sio miongoni mwa majukumu yake ya urais, mfano kwa rais kufanya biashara akiwa Ikulu, iwapo kitendo cha rais aliyemadarakani kufanya biashara binafsi Ikulu sio miongoni mwa majukumu ya rais wetu ndani ya Ikulu yetu, rais aliyefanya biashara Ikulu anaweza kabisa kushitakiwa kwa sababu kufanya biashara Ikulu kujiuzia rasilimali za nchi hii sio miongoni mwa majukumu ya urais.

Hapa naomba tutofautishe rais kufanya biashara binafsi kwa kipato chake kama rais anayo haki ya kufanya biashara yoyote halali kwa kipato chake mfano kilimo, ufugaji au kumiliki kampuni as a silent partner, kununua shares au kufanya lolote kwa fedha zake as long as yote anayoyafanya hayafanyii akiwa Ikulu yetu.

Kufanya Biashara Ikulu ni kile kitendo cha kuitumia advantage ya kuwepo Ikulu na kuitumia from ya Ikulu kupiga madili, ndio maana niliwaambia watu humu tuwashukuru sana BAE kuficha majina ya waliolipwa kickbacks za Rada, wangeyaanika ingekuwa aibu kubwa!.

Nakiri kupandisha bandiko hili kufuatia andiko hili
Ben Mkapa, you had better keep your mouth shut.

la Mkuu
Mkuu Okw Boban Sunzu, kama ni kweli
Rais Mstaafu Mkapa aliyafanya haya yote uliyoeleza humu, then ile kinga ya rais kutokushitakiwa, hamhusu, hivyo anashitakika!.

NB Kushitakika ni jambo moja na kushitakiwa ni jambo jingine. Kwa haya yaliyofanywa na Mkapa, uamuzi wa kutokushitakiwa ni a political will ya kuachwa apumzike na kustaafu kwa amani lakini sio sio kwa sababu ana kinga ya kutokushitakiwa.

Bahati nzuri sana makosa ya jinai hayana kipengele cha the limitations of time, hivyo Watanzania wazalendo wa nchi hii, tuendelee kuiombea sana nchi yetu iwe ya amani hivi hivi ilivyo chini ya CCM na kuiombea CCM iendelee kutawala milele ili pia maraisi wetu wastaafu waweze kuendelea kuachwa wapumzike kwa amani na kujilia pensheni zao za 80% ya the sitting president kwa amani.

Mungu Ibariki Tanzania,

Paskali

Ataka Mkapa na Kikwete Wafutiwe Kinga ya Kutokushitakiwa ...
Kuna Kitu Very Serious CAG Amekisema!. Hii Kitu Haiko Sawa And Its ...
CHADEMA Ikipewa Nchi, October 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala ...
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public ...
Mwito Kwa Wana JamiiForums Kuhusu Ukosoaji wa Rais Magufuli | Page ...
Mkuu Mzee Mwanakijiji, Rais Magufuli Sio Alfa na Omega. Rais Sio ...
Je, wajua suala vyeti vya Bashite, linaweza kabisa kumng'oa Rais ...
Kutoa siri za Nchi nje ya Nchi ni Uhaini. Maofisa Hawa Wametoa ...

Pata NOTES za masomo ya BLOG kwa lugha ya Kiswahili kwa bei ya OFFER!!!
Masomo yapo saba (pdf), kila moja Tsh 2500, au bei ya jumla Tsh 10,000.
Wahi sasa upate ujuzi wa kutengeneza pesa kupitia BLOG!
Piga | WhatsApp kwa 0713469213
 
Kinga walionayo ni CCM. over

Sheria inawalinda, hata itungwe sheria ipi hawataguswa. Tatizo watu wavivu kufikiri, wanapeleka mambo kwa hisia.Wewe mkuu wa dola toka lini anaweza shitakiwa?

Mpaka najiuliza hivi watu wanajua maana ya dola kweli?, Hivi magufuli akiamua asitoke madarakani labda watu watafanya nini?

Hivi watu wanajua kua mfano rais akiamua kung'ang'ania madaraka, mpaka anyang'anywe madaraka/aondolewe kwa nguvu tayari itakuwa maendeleo yatakuwa yamerudi nyuma Kwa miaka mingapi?, dola ikianguka itachukua muda gani kurudi katika hali ya kawaida?
 
Peleka huko upuuzi wako, sheria zilitungwa na Mungu hizo?
 
Walioweka kipengele hicho kwenye katiba hawakuweka tu,walijua mantiki ya kuweka kipengele hicho.

Watu bwana, yaani mnataka mrisk damu za watu kisa visasi na visirani vya kijinga!!!
 
Kumvua sarawili yake na kumpiga picha kibamia chake na kukirusha mtandaoni...nchi nyingine watu wangevamia hekalu lake
 
Ameliingiza taifa katika hasara kubwa na kutufanya maskini kiasi hiki na bado ana tutukana kwamba watanzania ni wapumbavu?
Hii hasira nisipo ionyesha wajukuu wetu wataionyesha dhidi ya vizazi vyake
 
Wanabodi,

Matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii ni pamoja na wanamtandao wenye kujua jambo fulani, kuwaelimisha wengine ili tuu kuwajuza, hivyo hili ni bandiko elimishi.

Tanzania ni nchi huru inayotawaliwa kwa mujibu wa katiba inayoheshimu utawala wa sheria, taratibu na kanuni, rais ndie Mkuu wa nchi anayechaguliwa kwa mujibu wa katiba, na kuapa kuilinda, kuiheshimu na kuitekeleza katiba kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni.

Katiba imeweka majukumu ya rais ikiwemo rais wetu anaweza kufanya nini na nini hapaswi kufanya akiwa Ikulu.

Katika kumpa uhuru rais wetu katika kutekeleza majukumu yake ya kirais, katiba imempatia rais wetu kinga ya kutokushitakiwa.

Ila pamoja na kuwepo kwa kinga hiyo haimaanishi kuwa rais wetu anaweza kujifanyia kila kitu alimradi yeye ni rais akiachwa tuu huku tukimwangalia, No!, rais wetu anapaswa kila asemalo, afanyalo na atendalo liwe ni kwa mujibu wa katiba na kwa maslahi ya taifa.

Je Wajua Kuwa Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Kwa Baadhi ya Mambo Aliyoyafanya na Kuyatenda Akiwa Ikulu Yetu ya Magogoni, Anaweza Kabisa Kushitakiwa na Akikutwa na Hatia Akahukumiwa Kama Mhalifu Mwingine Yoyote?.

Ile kinga ya rais kutokushitakiwa haihusu mambo yote rais aliyoyatenda akiwa Ikulu. Kinga ya kutokushitakiwa inahusu mambo tuu ambayo rais ameyatenda katika kutimiza majukumu yake ya kirais, yaani ile kinga ya rais kutokushitakiwa inahusu discharging presidential duties only and not otherwise!.
Ushauri wa bure kwa CCM: Hope for the best but get prepared for ...
Sheria yenyewe inasema hivi

Hii maana yake kama rais amefanya makosa mengine yoyote wakati akiwa Ikulu, na makosa hayo sio miongoni mwa majukumu yake ya urais, mfano kwa rais kufanya biashara akiwa Ikulu, iwapo kitendo cha rais aliyemadarakani kufanya biashara binafsi Ikulu sio miongoni mwa majukumu ya rais wetu ndani ya Ikulu yetu, rais aliyefanya biashara Ikulu anaweza kabisa kushitakiwa kwa sababu kufanya biashara Ikulu kujiuzia rasilimali za nchi hii sio miongoni mwa majukumu ya urais.

Hapa naomba tutofautishe rais kufanya biashara binafsi kwa kipato chake kama rais anayo haki ya kufanya biashara yoyote halali kwa kipato chake mfano kilimo, ufugaji au kumiliki kampuni as a silent partner, kununua shares au kufanya lolote kwa fedha zake as long as yote anayoyafanya hayafanyii akiwa Ikulu yetu.

Kufanya Biashara Ikulu ni kile kitendo cha kuitumia advantage ya kuwepo Ikulu na kuitumia from ya Ikulu kupiga madili, ndio maana niliwaambia watu humu tuwashukuru sana BAE kuficha majina ya waliolipwa kickbacks za Rada, wangeyaanika ingekuwa aibu kubwa!.

Nakiri kupandisha bandiko hili kufuatia andiko hili
Ben Mkapa, you had better keep your mouth shut.

la Mkuu
Mkuu Okw Boban Sunzu, kama ni kweli
Rais Mstaafu Mkapa aliyafanya haya yote uliyoeleza humu, then ile kinga ya rais kutokushitakiwa, hamhusu, hivyo anashitakika!.

NB Kushitakika ni jambo moja na kushitakiwa ni jambo jingine. Kwa haya yaliyofanywa na Mkapa, uamuzi wa kutokushitakiwa ni a political will ya kuachwa apumzike na kustaafu kwa amani lakini sio sio kwa sababu ana kinga ya kutokushitakiwa.

Bahati nzuri sana makosa ya jinai hayana kipengele cha the limitations of time, hivyo Watanzania wazalendo wa nchi hii, tuendelee kuiombea sana nchi yetu iwe ya amani hivi hivi ilivyo chini ya CCM na kuiombea CCM iendelee kutawala milele ili pia maraisi wetu wastaafu waweze kuendelea kuachwa wapumzike kwa amani na kujilia pensheni zao za 80% ya the sitting president kwa amani.

Mungu Ibariki Tanzania,

Paskali
Ushauri wa bure kwa CCM: Hope for the best but get prepared for ...
Ataka Mkapa na Kikwete Wafutiwe Kinga ya Kutokushitakiwa ...
Kuna Kitu Very Serious CAG Amekisema!. Hii Kitu Haiko Sawa And Its ...
CHADEMA Ikipewa Nchi, October 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala ...
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public ...
Mwito Kwa Wana JamiiForums Kuhusu Ukosoaji wa Rais Magufuli | Page ...
Mkuu Mzee Mwanakijiji, Rais Magufuli Sio Alfa na Omega. Rais Sio ...
Je, wajua suala vyeti vya Bashite, linaweza kabisa kumng'oa Rais ...
Kutoa siri za Nchi nje ya Nchi ni Uhaini. Maofisa Hawa Wametoa ...

Kuna sheria, na kuna utashi wa RAIS ..... achaneni na mambo ya vifungu, this time havifuatwi....
 
Back
Top Bottom