Je, wajua kukopesha ni kuleta uadui baina yako na mteja na kumpoteza kabisa?

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,049
4,904
Wakuu, katika kosa ambalo wafanya biashara wengi wanafanya Ni masuala ya kukopesha, kwenye biashara usimwangalie mtu usoni hata akilia machozi ya damu kwani mtu huyo huyo anayekulilia Leo ndio huyo huyo atakayekuona Kama condom iliyotumika siku za usoni.

Nasema hata kwa wauza dawa amekuja mtu anaumwa kiac Cha kukata Moto mwambie lete noti Kwanza, usimwamini mtu!

Kama unataka utoke barabarani mapema kupesha uone!!
 
Kopesha mtu unaemweza tu, hata mkikosana hakuna shida na awe anakuogopa flan ivi, nje ya hapo hesabia maumivu tu.

Rafiki yangu, ndugu yangu au jirani akitaka kunikopa kwa mfano laki 2, nitamsaidia elf 20 kiroho safi,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom