Je wajua Jimbo la Calofornia lina uchumi Mkubwa kuliko Russia?

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,303
23,055
Hata Russia wenyewe tu wanajua kwa marekani hawana ubavu wa kushindana nao kiuchumi hilo lipo wazi.

But kuna dude linakuja kwa kasi sana CHINA, in few years anaweza akamwacha marekani.
Mkuu uchumi Wa China hata baada ya miaka 20 hauwezi kuizidi Marekani.
Kwa Sababu uchumi Wa China unategemea Sana nchi za Africa na Asia mashariki ktk kuuza bidhaa zake wakati mataifa hayo ni maskini mno.
Marekani soko lake la bidhaa lipo ndani ya Marekani yenyewe na ulaya karibia yote, japokuwa pia huwa wachina wanafanya trade exchange na Marekani Kwa baadhi ya bidhaa.
Kwa mfano, gari aliyoitengeneza mchina ataiuza Africa Kwa $ 3,000 na bado Kwa umaskini ulipo Africa ni wachache wanamudu kununua.
Lakini marekani itauza gari ulaya na marekani kwenyewe kwa $ 20,000 na bado wanunuaji wanakuwa wengi mno Kwa Sababu mataifa mengi ya ulaya yana uchumi mkubwa Sana.
Bado US ina silaha za gharama kubwa sana kuliko nchi zote duniani, fighter jets za US zinapendwa na mataifa mengi duniani.
Huo ni mfano mdogo sana nimekupa ambao unaweza jitafakari ni kiasi gani ilivyo ngumu China kuishinda uchumi Marekani.
Hata viwanda vingi vilivyopo China ni investment ya US.
Hivi unaota kwamba sarafu ya yuan itakuwa juu duniani kuliko dola ya marekani?
Kwa maana ya China kuipiku US kiuchumi?
Hizo zimebaki kuwa theories tu, China haiwezi kuizidi marekani.
Kwanza ukae Unajua kuwa kukosekana Kwa utawala bora China ni moja ya Sababu inayoifanya China ishindwe kuzidi kusonga mbele.
China itasubiri Sana, kunyima raia Uhuru hudumaza Sana maendeleo.
Wachina ni ma genius lakini wanakwamishwa na kukosekana Uhuru.
 
Sidhani kama China anategemea Sana Afrika na Asia, anauza mpka ulaya kote marekani. Vitu bora vyote anauza ulaya. Ngoja nikupe mfano wiseboy china na kampuni ya huawei, zte, na hata Xiaomi kwa upande wa mawasilino vitu vyake vinauza mara 10 ulaya na marekani zaidi ya africa.

Kampuni karibu zote kubwa ulaya na marekani zinazalisha parts zake na accessories china bado unasaema china soko ni Asia na Afrika tu? Sio kweli
 
Lakin kuuza bidhaa nyingi kwa bei nafuu na kuuza kidogo kwa bei ghali, ipi ni nzuri ktk kukua kiuchumi??? maana nahis mchina anauza sana kuliko US japo yeye mchina anauza cheap products
 
Mkuu uchumi Wa China hata baada ya miaka 20 hauwezi kuizidi Marekani.
Kwa Sababu uchumi Wa China unategemea Sana nchi za Africa na Asia mashariki ktk kuuza bidhaa zake wakati mataifa hayo ni maskini mno.
Marekani soko lake la bidhaa lipo ndani ya Marekani yenyewe na ulaya karibia yote, japokuwa pia huwa wachina wanafanya trade exchange na Marekani Kwa baadhi ya bidhaa.
Kwa mfano, gari aliyoitengeneza mchina ataiuza Africa Kwa $ 3,000 na bado Kwa umaskini ulipo Africa ni wachache wanamudu kununua.
Lakini marekani itauza gari ulaya na marekani kwenyewe kwa $ 20,000 na bado wanunuaji wanakuwa wengi mno Kwa Sababu mataifa mengi ya ulaya yana uchumi mkubwa Sana.
Bado US ina silaha za gharama kubwa sana kuliko nchi zote duniani, fighter jets za US zinapendwa na mataifa mengi duniani.
Huo ni mfano mdogo sana nimekupa ambao unaweza jitafakari ni kiasi gani ilivyo ngumu China kuishinda uchumi Marekani.
Hata viwanda vingi vilivyopo China ni investment ya US.
Hivi unaota kwamba sarafu ya yuan itakuwa juu duniani kuliko dola ya marekani?
Kwa maana ya China kuipiku US kiuchumi?
Hizo zimebaki kuwa theories tu, China haiwezi kuizidi marekani.
Kwanza ukae Unajua kuwa kukosekana Kwa utawala bora China ni moja ya Sababu inayoifanya China ishindwe kuzidi kusonga mbele.
China itasubiri Sana, kunyima raia Uhuru hudumaza Sana maendeleo.
Wachina ni ma genius lakini wanakwamishwa na kukosekana Uhuru.
Wewe unaeleza either hujui uchumi wa dunia unavyoendelea...... au unaangalia TV na CENEMA sn kwa hiyo movies zimekuchanganya sn

Ukuelezwa maelezo marefu yata kuchanganya sasa ni bora ya kukupa
Hint kidogo ukafunuao ubongo wako

Screenshot_20170205-101433.png
Screenshot_20170205-101433.png
 
Sidhani kama China anategemea Sana Afrika na Asia, anauza mpka ulaya kote marekani. Vitu bora vyote anauza ulaya. Ngoja nikupe mfano wiseboy china na kampuni ya huawei, zte, na hata Xiaomi kwa upande wa mawasilino vitu vyake vinauza mara 10 ulaya na marekani zaidi ya africa.

Kampuni karibu zote kubwa ulaya na marekani zinazalisha parts zake na accessories china bado unasaema china soko ni Asia na Afrika tu? Sio kweli
Ni kweli kabisa mkuu ila makampuni hayo yana hisa na matajiri wa kimarekani Kwa hiyo mapato mengi sana yanarudi tena Marekani.
Hapo ndo inakuwa ngumu Sana China kuipita US.
 
Wewe unaeleza either hujui uchumi wa dunia unavyoendelea...... au unaangalia TV na CENEMA sn kwa hiyo movies zimekuchanganya sn

Ukuelezwa maelezo marefu yata kuchanganya sasa ni bora ya kukupa
Hint kidogo ukafunuao ubongo wako

View attachment 467412View attachment 467412
Mkuu hiyo figure ni kweli, ila mapato mengi sana yanarudi US badala ya kubaki China Kwa Sababu matajiri wengi sana wa US wame invest kwenye makampuni ya China na wengine ni shareholders.
Hujiulizi ni Kwa nini Kila Siku mnasema China baada ya miaka kadhaa itaipita US lakini hiyo miaka kadhaa inapita China ipo pale pale na US inasonga mbele.
Huwezi kupima uchumi Wa nchi Kwa kuangalia TV labda wewe.
 
Mkuu uchumi Wa China hata baada ya miaka 20 hauwezi kuizidi Marekani.
Kwa Sababu uchumi Wa China unategemea Sana nchi za Africa na Asia mashariki ktk kuuza bidhaa zake wakati mataifa hayo ni maskini mno.
Marekani soko lake la bidhaa lipo ndani ya Marekani yenyewe na ulaya karibia yote, japokuwa pia huwa wachina wanafanya trade exchange na Marekani Kwa baadhi ya bidhaa.
Kwa mfano, gari aliyoitengeneza mchina ataiuza Africa Kwa $ 3,000 na bado Kwa umaskini ulipo Africa ni wachache wanamudu kununua.
Lakini marekani itauza gari ulaya na marekani kwenyewe kwa $ 20,000 na bado wanunuaji wanakuwa wengi mno Kwa Sababu mataifa mengi ya ulaya yana uchumi mkubwa Sana.
Bado US ina silaha za gharama kubwa sana kuliko nchi zote duniani, fighter jets za US zinapendwa na mataifa mengi duniani.
Huo ni mfano mdogo sana nimekupa ambao unaweza jitafakari ni kiasi gani ilivyo ngumu China kuishinda uchumi Marekani.
Hata viwanda vingi vilivyopo China ni investment ya US.
Hivi unaota kwamba sarafu ya yuan itakuwa juu duniani kuliko dola ya marekani?
Kwa maana ya China kuipiku US kiuchumi?
Hizo zimebaki kuwa theories tu, China haiwezi kuizidi marekani.
Kwanza ukae Unajua kuwa kukosekana Kwa utawala bora China ni moja ya Sababu inayoifanya China ishindwe kuzidi kusonga mbele.
China itasubiri Sana, kunyima raia Uhuru hudumaza Sana maendeleo.
Wachina ni ma genius lakini wanakwamishwa na kukosekana Uhuru.
Noted.
Hakuna nchi inayoweza kushindana na America dunia hii.
Period.
 
Gari gani hiyo mkuu???
Kwa hiyo comment tu, inaonesha upo mweupe katika mambo ya uchumi wa kimataifa.
Anyways, kama ulikuwa hujui, China anauza ulaya na Marekani mara 9/10 zaidi ya wanavyouza Africa.
Someni vitu, sio mnakariri story za vijiweni.
 
tanzania inakuja kwa kasi,huenda hadi kufikia mwaka 2020 tukawa nafasi nzuri tu ya juu kwenye uchumi wa dunia,coz tumeambiwa serikali itajenga viwanda
Hahahahahaaa, mkuu umenifanya nicheke kwa nguvu asee mpaka watu wanishangaa
 
Takwim zako wise boy sijui unazitolea wapi… nani kakwambia uchumi wa China ni tegemezi pekee kwa makampuni makubwa ya marekani? Embu fuatilia ukubwa wa kampuni kama alibaba.. Huawei.. Makapuni ya solar ya Uchina.. Kuna kitu wanaita “, hidden dragons”, katika uchumi wa China.. Yaani makampuni makubwa sana sana ambayo hayana brand recognition.. Lakini yanauza bidhaa za mabilioni ya dola duniani.. Mfano ni HAIER.. itafute uangalia ukubwa wake.. Je wajua kuwa mwaka 2013 uchina iliipita marekani na umoja wa Ulaya kama mshirika mkubwa zaidi wa kibiashara wa mashariki ya kati? Embu fuatilia kidogo details mkuu
 
Sorry did you say Calofornia?! It must be a new state in America apart from 'California' eeeeh!
 
Back
Top Bottom