Je wajua: anaconda wa kike humla wa kiume Baada ya tendo la kuzaliana?

Je wajua: anaconda wa kike humla wa kiume Baada ya tendo la kuzaliana?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
22,854
Reaction score
32,657
Imagine pale mwamba anagugumia kufika kileleni ( orgasm) ...ndo inakua mwisho wa uhai wako bila shaka wanaume tungekacha sex

Hii hutokea Kwa Anaconda wa kike humla anaconda wa kiume baada ya kujamiiana kwa sababu kuu zifuatazo:

1. Mahitaji makubwa ya nishati: Baada ya kujamiiana, jike huwa na jukumu la kubeba mimba kwa muda mrefu (karibu miezi saba) na kutengeneza mayai au watoto waliokomaa tumboni. Hii inahitaji nguvu na lishe ya kutosha. Kumla dume ni njia ya haraka ya kupata protini nyingi.

2. Ukubwa wa jike: Majike wa anaconda ni wakubwa sana kuliko madume. Kwa sababu hiyo, wana uwezo wa kummeza dume kirahisi bila shida.

3. Dume hana tena “thamani” baada ya kujamiiana: Kwa wanyama wengi wanaotumia silika, mara dume akisha tumika kwa kazi ya kupandikiza mbegu, hana tena umuhimu kwa jike. Hivyo, anaweza kuonekana kama chakula.

4. Ni sehemu ya silika ya kuishi: Kwa baadhi ya viumbe kama nyoka na buibui, tabia ya "sexual cannibalism" (kumla mwenza baada ya kujamiiana) ni ya kawaida na ni sehemu ya mchakato wa kiasili wa kuhakikisha jike anapata lishe ya kutosha kwa uzazi.

Point ni kuwa....hauna Tena thamani

Je ingetokea kwetu.... still ungeendelea kuzagamuana?
1748661709005.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kuna nyigu wakiwa wanafika kileleni kende zao zinapasuka na wao hufa,nawaza hili jambo lingekua kwetu sijui ingekuaje.
 
Ila nyoka wanaogopesha aisee! Kuna uwezekano wa kuwepo na binadamu wachache sana wasio ogopa nyoka! Mimi na ujanja wangu wote, sina urafiki/ukaribu na nyoka hata yule wa bandia.
Mim hata sijui walinikosea wapi nawaogopa jaman siwapendii wananitisha hata kumuua siwezi nikisikia tu nyoka mim mbio naenda mbaliii
 
Back
Top Bottom