Je waijua Korea Kaskazini?

Je waijua Korea Kaskazini?

Marekani juzi juzi wamesema wamefanya test ya THAAD ikawa na mafanikio,sasa mbona mzigo huko Japan umepita kwapani hawajaudaka?sasa hiyo ni salam watakuja kuukuta kwenye paa la White house, ngoja waendelee kumchokoza kiduku,kumbe dawa ya marekani ni ndogo akifanya mazoezi wewe sukumizia mzigo anakuita mfanye mazungumzo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom