eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
- Thread starter
- #21
Hiyo ni kweli watu wanasema wana silaha za kizamani lakini wana siri nzito sana usisahau silaha huwa wanaunda wenyeweUmesahau pia kwamba korea ni nchi inayoongoza kwa propaganda za vitisho,na pia ni nchi yenye silaha nying za kizamani tukianzia na ndege za kivita,bunduk,meli,na vifaru,wanatumia silaha zilizotoswa na russia baada ya vita ya pil ya dunia,ndege zao za kivita hazina tofaut na za bongo,wamejitahid sana ku develope continental missilez za kubeba nuclear ndio,ila kwenye silaha zungne,ni kama bongo tuu ingawa wao wanazo nyingi..MIM NI HATER