Rais2020
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 3,248
- 5,537
Vyombo vya habari kupigwa faini ni kutokana na uwepo wa watangazaji wasio na weledi na sifa sitahiki za kutangaza au ni kutokujua sheria na kanuni za uandiashi na utangazaji wa habari?
Ona hapa vyombo vya habari vilivyopigwa faini ya 3millions.
================================================================≠===================
Channel Ten yatozwa faini TZS 3m baada ya kutangaza jina na eneo wanapoishi mama na mwanae aliyelawitiwa na dereva bodaboda- HT @ MWANANCHI Swahili Times on Twitter
Clouds Fm yatozwa faini ya TZS 3m baada ya mtangazaji mmoja wa Jahazi kuigiza sauti ya mchungaji mmoja akimlaghai mwanafunzi- HT @ MWANANCHI Swahili Times on Twitter
Times FM yatozwa faini TZS 3m baada ya mtangazaji kumhoji mwanamke mmoja aliyekiri kuwa alikuwa akitembea na shemeji yake- HT @ MWANANCHI Swahili Times on Twitter
Star Tv yatozwa faini TZS 3m kwa kurusha kipindi cha futuhi chenye kujenga chuki ambapo wanafunzi walionekana wakumpiga mwalimu- MWANANCHI Swahili Times on Twitter.
Ili kukwepa hizi adhabu kutoka kwenye mamlaka inayohusika na habari,je,ni vema waandishi wa habari na watangazaji wa habari wawe na shahada ili kupunguza hizi faini zisizo za lazima?
Karibuni tujadili pamoja.
Rais2020
Raia wa mioyo ya watanzania.
Rais wa wanyonge.