Sawa ndgBila shaka
Sawa ndgBila shaka
Mm au badali?Upo Zanazibar ama?
Kwa sahz suza inagoma kama muhas,,wadau mbona kwangu suza haifunguki
Kwa sahz suza inagoma kama muhas,,wadau mbona kwangu suza haifunguki
Umeandika kihuni sana..
Mm nmechaguliwa but nmeona kweny profile yangu,, bt majna hayajatoka na sahz naona webxait yao haifunguk. Af pia leo wamentmia mcg katka namba angu ya cm waknambia nijiandae masomo yanaanza novemba.
Welcome SUZA Mbweni campus.![]()
Mfano wa mcg kwny akaunt ya suza
Welcome SUZA Tunguu main campus
Samahani, soma tuu tena na imani utaelewaUmeandika kihuni sana.
Yaani unakosa hadi chuo cha Zanzibar utakuw na gunduBasi mm nitakua nimekosa basi
Heee!Yaani unakosa hadi chuo cha Zanzibar utakuw na gundu
HahahahahahahahAnawashwa huo