Je vyuo vya Zanzibar mbona kimya?

Je vyuo vya Zanzibar mbona kimya?

SUZA angalia kwenye profile yako ila ZU sielewi vipi wao
 
Wana jukwaa mbona vyuo vya ZANZIBAR kama ZANZIBAR UNIVERSITY NA STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR wapo kimya?
Je yupo aliechaguliwa kujiunga na vyuo hivyo tupeane majibu.
.

Mm nmechaguliwa but nmeona kweny profile yangu,, bt majna hayajatoka na sahz naona webxait yao haifunguk. Af pia leo wamentmia mcg katka namba angu ya cm waknambia nijiandae masomo yanaanza novemba.
 
.

Mm nmechaguliwa but nmeona kweny profile yangu,, bt majna hayajatoka na sahz naona webxait yao haifunguk. Af pia leo wamentmia mcg katka namba angu ya cm waknambia nijiandae masomo yanaanza novemba.
Chuo gani hicho ulichoona kwenye profile? Na kukutumia sms?
 
Basi mm nitakua nimekosa basi
 
Chuo gani hicho ulichoona kwenye profile? Na kukutumia sms?
ae26d5650b5301ff543134bb746110e9.jpg

Mfano wa mcg kwny akaunt ya suza
 
Hata yangu ipo kama ivo basi
 
Back
Top Bottom