GE2025 Je, Viongozi wa taasisi zisizo za kisiasa kushiriki siasa haina Athari kwa wanajamii na wapiga kura?

GE2025 Je, Viongozi wa taasisi zisizo za kisiasa kushiriki siasa haina Athari kwa wanajamii na wapiga kura?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Wakuu

===

Kwa siku za hivi karibuni, baadhi ya taasisi zisizo za kisiasa zimeonekana viongozi wake kuonyesha mapenzi yao kwa vyama vya siasa kwa kushiriki moja kwa moja katika shughuli za kisiasa; baadhi yao wanachangia kifedha, wengine wanagombea, na wengine kushiriki kwa namna nyingine.

Hali hii inachangia changamoto kubwa kwa taasisi hizo ambazo zina wanajamii wenye itikadi tofauti za kisiasa. Shughuli za kisiasa za viongozi zinaweza kuunda mgawanyiko ndani ya taasisi, na kusababisha mchango wa kisiasa unaochanganya mwelekeo wa wapiga kura wenye itikadi tofauti, huku kampeni za kimya kimya na propaganda zikichangia kuchanganya hali halisi ya maamuzi ya wananchi.


 
Back
Top Bottom