MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Haiwezekani Polisi tena mwenye Cheyo kikubwa unasema eti "tumemkamata mtu kulinda usalama wake"
Mtu katoka alikotoka kule hakulindwa safari yake yote leo wewe ndio unajitokeza ati unalinda usalama wake? Haya yantokea nchi gani haya?
Huishii hapo bado unamwambia mtu aandike maelezo huku unasema unalinda usalama wake!! Hii hata wezako lazima wahoji elimu yako na uhalali wa kukalia kiti chako.
Haiwezekani mnavamia waandishi wa habari na kuwapiga huku mkijua kabisa kua sheria inazia kuwagusa wakiwa kwenye kazi zao.Hawa ni wa kushtakiwa si wa kichwa kuendelea kulichafua taifa letu.
Nijuavyo mimi ni kwamba ili kujiunga na jeshi letu zamani ilikua ni kwamba uwe angalau na elimu ya msingi,mambo ya sekondari ni juzi juzi tu tena ni kidato cha nne kwa division 28, ukiwa na cheti hata cha ufundi ukiwa na four hata ya 33 unapita tu.Baadae mkazo ukatiliwa kidogo kwa form four div 3 japo ni wengi tu walikua wakipitia mgongo wa nyuma na ndio maana hata uhakiki wa watumishi huko unaweza kuzoa kiasi kikubwa sana cha askali
Ukiona Askari kaenda chuo kikuu au kamaliza kidato cha sita jua kaenda kule kwa kukosa kazi mtaani au kaunga unga.Wapo wasomi wachache sana ndani ya majeshi yetu hasa polisi na unaweza kukuta ndio wanaojielewa na ni product za vyuo vikuu.
Nimeona kuandika haya kutokana na matendo ya jeshi letu la polisi kwa raia wake.