kuna dadangu mie alipata mimba jamaa kaja juu oooh hujui siku zako ooh me sipo tayari kulea saizi akamwambia atoe sister akamwambia poa nipe hela nkatoe hakuitoa bdae kamwambia si nilikwambia utoe akasema pesa iliibiwa akampa nyingine then sister akabadili line, baada ya miez akajifungua mtoto wake safi akaanza kumlea,saizi jamaa anakuja juu eti anataka mwanae,hivi mtu kama huyu unamwambiaje?.