Na hiki ndio kinanifanya niamini kuwa UTI sio ugonjwa wa ngonoWengine hatufanyi chochote, tena hatutumii toilet za public tena under wear tunapiga pasi, ukienda medical check ups unasikie oops una UTI eeh japo siyo nyingi,....
sheet...
Kuchangia Vyoo hasa Vyoo vyetu hivi vya kisasa!Wasalaam Sana wajumbe.
Umekuwa na dhana iliyojengeka miongoni mwa wanajamii kuhusu ugonjwa wa Urinary Track Infection UTI ambao unawakumba watu wengi nyakati hizi bila kujali umri wala mazingira anayo kaa mtu...
Hapana,Wasalaam Sana wajumbe.
Umekuwa na dhana iliyojengeka miongoni mwa wanajamii kuhusu ugonjwa wa Urinary Track Infection UTI ambao unawakumba watu wengi nyakati hizi bila kujali umri wala mazingira anayo kaa mtu...
Jibu ni Ndio ingawa sio mtaalamu wa mambo hayo kuna Dr rafiki yangu alisema unaweza kupata ikiwa utatembea na mtu mwenye U.T.I.Hii namaanisha unaweza kuambukizwa kwa njia ya kujamiiana?
Sio wa ngono lakini ngono inatengeza urahisi pia na unaye ngonokabnayeWasalaam Sana wajumbe.
Umekuwa na dhana iliyojengeka miongoni mwa wanajamii kuhusu ugonjwa wa Urinary Track Infection UTI ambao unawakumba watu wengi nyakati hizi bila kujali umri wala mazingira anayo kaa mtu...
Ndio shahidi mimi acha ubishiHii namaanisha unaweza kuambukizwa kwa njia ya kujamiiana?
Tunamaanisha maambukizi kwenye njia ya mkojo. Ingawa mimi siyo mtaalamu lakini ni maambukizi yanayoanza kwenye mirija inayotoa mkojo kutoka kwenye kibofu cha mkojo.Mnaposema U.T.I huwa mnaongelea maambukizi au htilafu katika eneo gani hasa ?
DR Mambo Jambo spidernyoka
Tunaposema U.T.I tunamaanisha ni Urinary tract infections ambayo ni maambukizi katika mfumo wa mkojoMnaposema U.T.I huwa mnaongelea maambukizi au htilafu katika eneo gani hasa ?
DR Mambo Jambo spidernyoka
DR Mambo JamboWasalaam Sana wajumbe.
Kumekuwa na dhana iliyojengeka miongoni mwa wanajamii kuhusu ugonjwa wa Urinary Track Infection UTI ambao unawakumba watu wengi nyakati hizi bila kujali umri wala mazingira anayo kaa mtu.
Je UTI ni ugonjwa unaoambukizwa kwa kujamiiana.? Nauliza hivi kwa Sababu Kuna msemo umezoeleka wa kusema ukitaka UTI sugu tembea na binti mwenye tabia hizi na hizi, hasa tabia za kuwa na Wanaume wengi.
Ukirejea kwenye uhalisia bado hiyo hoja inakosa mashiko kwa Sababu Kuna watoto wadogo ambao nao wanaugua UTI na bado hawajuani na mambo mahusiano.
Je usugu wa UTI unasababishwa na zinaa na watu mbali mbali au Kuna mazingira mengine changishi.
Nawasilisha.
Hapana ni ugonjwa wa kisukari!Wasalaam Sana wajumbe.
Kumekuwa na dhana iliyojengeka miongoni mwa wanajamii kuhusu ugonjwa wa Urinary Track Infection UTI ambao unawakumba watu wengi nyakati hizi bila kujali umri wala mazingira anayo kaa mtu...