Je, utapenda mpenzi wako achore tattoo?

Je, utapenda mpenzi wako achore tattoo?

Mi naona poa tu. Napenda tattoo. Mwenyewe napenda kuchora basi tu maisha ya elimu yananibana.
 
Mi wanangu baadhi wamejichora tatoo ila majina ya mama zao
Kwanza naogopa pili najua tattoo itanikosesha fursa nyingine kwenye maisha. Natamani tu na kusifia za watu. Huwa nachora za muda kwa kutumia picco
 
Tattoo ni upuuzi tu, ukijichora kijana unaharibu future yako, utajuta
Mfano Amani Temba ( MH temba) alifukuzwa jeshini sababu ya tattoo
 
Tattoo ni upuuzi tu, ukijichora kijana unaharibu future yako, utajuta
Mfano Amani Temba ( MH temba) alifukuzwa jeshini sababu ya tattoo
Nikiwaza hilo ndo nakata tamaa kuchora ila napenda wala si utani sema nikiwaza kuna maisha baada ya kuchora tattoo natuliza makalio chini
 
Wanao as in watoto wako wa kuwazaa au washikaji zako? Mi nikichora nitachora jina la mtoto wangu
Hahaha masela zangu tu yani, thats great mtoto ni memory ya kudumu haitokaa ibadilike...thats your blood!

Ujinga ni kuandika jina la bwana wako kwenye tatoo.
 
Hahaha masela zangu tu yani, thats great mtoto ni memory ya kudumu haitokaa ibadilike...thats your blood!

Ujinga ni kuandika jina la bwana wako kwenye tatoo.
Kumbe masela. Mi hata nikiona mwanaume mwenye tattoo naenda msalimiaa. Kuchora tattoo ya bwana ni ushamba. Bora nimchore Jakaya
 
Nikiwaza hilo ndo nakata tamaa kuchora ila napenda wala si utani sema nikiwaza kuna maisha baada ya kuchora tattoo natuliza makalio chini
Kwa hapa tz ukichora tattoos kuna fursa nyingi za kazi utazikosa, vilevile utaonekana mhuni usiye na nidhamu.

Piga picha ukizeeka pia itaonekana wewe ulikuwa mhuni ujanani.
 
Back
Top Bottom