Je utamuoa nani kati ya hawa?

Je utamuoa nani kati ya hawa?

Mie binafsi, mwanamke yeyote yule ananifaa, kikubwa napenda awe mkorofi/msumbufu (sina maana awe malaya ila awe mkorofi tu).

karibu sana tarime... its a good tourist centre! lol!
 
bora nioe ninayempenda. nikioa anayenipenda nitamtesa sana maana nitakuwa nagegeda nje ile noma nikijua hawezi niacha maana ananipenda. bora ni teseke mie kuliko mwanamke
nae atakuwa anagegedwa nje na awapendao sana
 
ili mambo yaende sawa kati ya wawili.. lazima kuwe na equilibrium point..

ili ku-avoid excessive love na deficity love!!

equilibrium ni muhimu ili msilizane kabisa ndoani!

mkt_equlibrium.gif

katika point p na q, hapo ndipo love ilipo! endapo hamtokutania hapo, lazima mtagombana kila leo!!

Price Vs Quantity umenikumbusha mbali sanaaaaa
 
nae atakuwa anagegedwa nje na awapendao sana

ah uzuri mie nilishajiwekea kuwa hawa wanawake kugegedwa ndio jadi yao so mie sina presha wacha agegedwe tuu cha msingi hawabandui hiyo papuchi so mie nikija gegeda utamu pale pale mwanawane
 
Mie bhado cjajua kupenda na kupendwa nataman 2 xo don no ntaoa gan??

Heeee....ili kuendelea kua safe we hata usipende wala kupendwa,we endelea kutamani tuu...ila watch out matamanio yako
 
For me, mwanamke anaweza olewa na mwanaume asiyempenda na akaweza kumwinesha ama kujifunza kumpenda TOFAUTI na mwanaume ambaye ni ngum kwake kujifunza kumpenda mwanamke, yan mwanaume ku-act luv anagundulika tofauti na mwanamke!

wot I mean, it's wot I blv!!!!!!

Mwanaume asipopenda ngum kuchange, ila kuna % kubwa mwanamke kuchange endapo alkuwa hampendi mwanaume akampenda bdae!

Women can learn to luv men, unlike men!!!!!
 
Habari zenu wapendwa wana JF,ni matumaini yangu mko salama na mkifurahia kua weekend imeeanza na wapendaji nyama choma wakijiandaa kwa kesho,ila mvua isilete habari zake..itakwaza wengi..
Nina swali kwa wanaume swali hili linaweza kwenda kwa wanawake pia japo nahisi nimeshapata jibu lao kabla sijajibiwa.
Ikiwa we ni mwanaume na unaona umri wako wa kuoa umefika na umejpanga kwa hilo utamuoa mtu unaempenda sana au yeye anakupenda sana?
Najua kabla hamjaoa hua mnakaa chini na kufanya maamuz ya busara,maana naaminigi kua mwanaume hakurupukagi kuoa,sas ikiwa wew n mwanaume utamuoa mwanamke anaekupenda sana na unajua anakupenda sana,au utamuoa mwanamke ambaye we ndo unampenda sana kuliko yey akupendavyo na unajua hilo?ningependa kusikia toka kwenu
Kwa wanawake najua jibu lenu ni kuolewa na anaekupenda sana

Hata wanaume ni hvyo kuoa mwanamke ampendaye mwanaume
 
ah uzuri mie nilishajiwekea kuwa hawa wanawake kugegedwa ndio jadi yao so mie sina presha wacha agegedwe tuu cha msingi hawabandui hiyo papuchi so mie nikija gegeda utamu pale pale mwanawane
basi mtavumiliana sababu hata wanawake wanaamini hakuna mwanaume wa peke yako, hapo itakuwa full kuvumiliana na itakuwa mwendo mdundo
 
bora nioe ninayempenda. nikioa anayenipenda nitamtesa sana maana nitakuwa nagegeda nje ile noma nikijua hawezi niacha maana ananipenda. bora ni teseke mie kuliko mwanamke
Mkuu hadi leo bado hujajua kuwa kugegeda hakuna uhusiano na mapenzi kwa mwanaume? KTY hata kama mwanamke unampenda vipi kama wewe ni mtu wa kuchepuka, utachepuka tu.
 
PLL mimi naoa mwanamke anayenipenda, kwa sababu huwa ninampenda mtu kulingana na anavyonipenda. Kifupi kama mtoto ana vigezo vyote halafu kafika kwangu, uwezekano wa mimi kumkubali na kumpenda ni zaidi ya 95%.
 
Mkuu hadi leo bado hujajua kuwa kugegeda hakuna uhusiano na mapenzi kwa mwanaume? KTY hata kama mwanamke unampenda vipi kama wewe ni mtu wa kuchepuka, utachepuka tu.

ah wapi mie nikipenda sichepuki
 
basi mtavumiliana sababu hata wanawake wanaamini hakuna mwanaume wa peke yako, hapo itakuwa full kuvumiliana na itakuwa mwendo mdundo

ah kweli mwendo mdundo...full kugegedana mpaka mwisho wa dunia. loh!!
 
Ulishawahi kupenda?

mhm...mie kusema kweli sijawahi kupenda mie nikutamani tuu. ila i know for sure kuwa nikija mpenda demu nitafanya juu chini nisigegede nje na kama nikigegeda basi itakuwa one nyt stand and not a full blown affair
 
Nimependa hayo maneno hapo kwenye nyekundu. Kumbuka kufanya juu chini sio kuweza. Hivi unadhani wagegedaji ndio wanapenda sana kugegeda nje? Kumbuka "changing who you are is one of most challenging things you might ever want to do"
 
ndio wanapenda kugegeda thats y they do it bwana...wangekuwa hawapendi wasingefanya
 
Back
Top Bottom