Je utamuoa nani kati ya hawa?

Je utamuoa nani kati ya hawa?

PLL

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
882
Reaction score
400
Habari zenu wapendwa wana JF,ni matumaini yangu mko salama na mkifurahia kua weekend imeeanza na wapendaji nyama choma wakijiandaa kwa kesho,ila mvua isilete habari zake..itakwaza wengi..
Nina swali kwa wanaume swali hili linaweza kwenda kwa wanawake pia japo nahisi nimeshapata jibu lao kabla sijajibiwa.
Ikiwa we ni mwanaume na unaona umri wako wa kuoa umefika na umejpanga kwa hilo utamuoa mtu unaempenda sana au yeye anakupenda sana?
Najua kabla hamjaoa hua mnakaa chini na kufanya maamuz ya busara,maana naaminigi kua mwanaume hakurupukagi kuoa,sas ikiwa wew n mwanaume utamuoa mwanamke anaekupenda sana na unajua anakupenda sana,au utamuoa mwanamke ambaye we ndo unampenda sana kuliko yey akupendavyo na unajua hilo?ningependa kusikia toka kwenu
Kwa wanawake najua jibu lenu ni kuolewa na anaekupenda sana
 
Alienichukia siwezi kumuoa ntaoa anaenipenda
 
Mbona jibu liko wazii!!! Mpende akupendae asiyekupenda achana nae...ni nitamuoa anayenipenda la tu asiwe anaigiza..
 
bora nioe ninayempenda. nikioa anayenipenda nitamtesa sana maana nitakuwa nagegeda nje ile noma nikijua hawezi niacha maana ananipenda. bora ni teseke mie kuliko mwanamke
 
ili mambo yaende sawa kati ya wawili.. lazima kuwe na equilibrium point..

ili ku-avoid excessive love na deficity love!!

equilibrium ni muhimu ili msilizane kabisa ndoani!

mkt_equlibrium.gif

katika point p na q, hapo ndipo love ilipo! endapo hamtokutania hapo, lazima mtagombana kila leo!!
 
Guud Excel naona mambo ya demand, supply, quantity n price lazima vikutanie in a certain point loooo wanikumbusha mbali wewe
 
Last edited by a moderator:
Guud Excel naona mambo ya demand, supply, quantity n price lazima vikutanie in a certain point loooo wanikumbusha mbali wewe

ichana kumbe ww ni economist? safi sana...!! bila shaka family yako ina raha.. debts za hovyo hauko nazo bila shaka!!
 
Mie binafsi, mwanamke yeyote yule ananifaa, kikubwa napenda awe mkorofi/msumbufu (sina maana awe malaya ila awe mkorofi tu).
 
ichana kumbe ww ni economist? safi sana...!! bila shaka family yako ina raha.. debts za hovyo hauko nazo bila shaka!!

Ha ha ha ndo manake hapa umefika..
Gd nyt yoo
 
Mbona jibu liko wazii!!! Mpende akupendae asiyekupenda achana nae...ni nitamuoa anayenipenda la tu asiwe anaigiza..

nlisahau kama kuna waigizaji katk mapenz
 
Mie binafsi, mwanamke yeyote yule ananifaa, kikubwa napenda awe mkorofi/msumbufu (sina maana awe malaya ila awe mkorofi tu).
hahaha nahisi ntakufaa kwa hizo sifa
 
ili mambo yaende sawa kati ya wawili.. lazima kuwe na equilibrium point..

ili ku-avoid excessive love na deficity love!!

equilibrium ni muhimu ili msilizane kabisa ndoani!

mkt_equlibrium.gif

katika point p na q, hapo ndipo love ilipo! endapo hamtokutania hapo, lazima mtagombana kila leo!!
Ni kweli Excel lakini ni wachache sana hukutania hapo,yan ni wachache,sas hapa tunazungumzia wale weng wasiokutania hapo
 
bora nioe ninayempenda. nikioa anayenipenda nitamtesa sana maana nitakuwa nagegeda nje ile noma nikijua hawezi niacha maana ananipenda. bora ni teseke mie kuliko mwanamke
Thats my Patna umeniogopesha kwa haya mapenz ya dhati kwa wanawake,yameanza lni Patna?
Ucsahau kua huyo anaekupenda kuna kpnd atazchoka tabia zako na ile love itachange af hautaamini kama ni yeye
 
Guud Excel naona mambo ya demand, supply, quantity n price lazima vikutanie in a certain point loooo wanikumbusha mbali wewe
"
Vikikutana inakua poa na vyema lakini ni mara nying havikutani katka maisha ya sas kutokana na sababu mbalmbali,ivyo nazungumzia pale ambapo havikutani mkuu
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli Excel lakini ni wachache sana hukutania hapo,yan ni wachache,sas hapa tunazungumzia wale weng wasiokutania hapo

kumpenda sana mwanamke wakati moyo wake uko kwa mwanaume mwingine ni kazi ngumu sana rafiki yangu...

yuko tayari kukufanyia vitimbwili vya kila aina kwa advantage kwamba unampenda sana! hutomwacha...

vivyo hivyo kwa mwanamke kumpenda mwanaume...

mimi kwa upande wangu, kama anaenipenda ana vigezo, basi ntaweka jiko ndani niendelee na mambo mengine ya kiuchumi..
 
Back
Top Bottom