Wenger haaminiki mpaka wapewe jezi hao ndo tujue kweli wamekuja Arsenal
Wameanza kwa kumsajili Higuan,na wanamtaka Rooney,ni swala la muda na kusubili league ianze.
Na RB Ssgna amechoka kidogo tunatakiwa kupata kijana mzoefu kidogo Jack bado kama msimu mmoja ndio atakuwa beki wa uhakika hao wengine umenena mkuu hilo ndio tatiso kubwa la arsenal fc kiungo mkabaji na wenger sijui kwa nini anafikiria zaidi DIABI wakati mgonjwa kila siku hata ARTETA na yy sio namba yake ile anajitahidi tuWanatakiwa wasajili strong holding mildfielder km victor wanyama wa celtic na namba tano mmoja wa ukwel,ndo watakuwa vizur
Kweli bw kaka.........Wenger haaminiki mpaka wapewe jezi hao ndo tujue kweli wamekuja Arsenal