Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,315 Reaction score 8,750 Jun 9, 2018 #1 Wakuu Tumsifu Yesu Kristu! sisi wakatoliki kuna kitu kinaitwa Mwaka wa Kanisa.. au Jumapili ya Kadhaa ya Mwaka wa Kanisa je utajuaje Hii ni jumapili namba Fulani ya Mwaka wa Kanisa? Mfano Jumapili ya Kesho ni Ya Ngapi ya Mwaka wa Kanisa?
Wakuu Tumsifu Yesu Kristu! sisi wakatoliki kuna kitu kinaitwa Mwaka wa Kanisa.. au Jumapili ya Kadhaa ya Mwaka wa Kanisa je utajuaje Hii ni jumapili namba Fulani ya Mwaka wa Kanisa? Mfano Jumapili ya Kesho ni Ya Ngapi ya Mwaka wa Kanisa?
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 19,992 Reaction score 54,055 Jul 6, 2018 #2 Kwa hiyo hii nayo umeileta intelligence forum?
Bbade JF-Expert Member Joined Mar 15, 2013 Posts 6,742 Reaction score 21,871 Jul 7, 2018 #4 TheMason said: Mfano Jumapili ya Kesho ni Ya Ngapi ya Mwaka wa Kanisa? Click to expand... Jumapili ya 14 ya Mwaka wa Kanisa.
TheMason said: Mfano Jumapili ya Kesho ni Ya Ngapi ya Mwaka wa Kanisa? Click to expand... Jumapili ya 14 ya Mwaka wa Kanisa.
masoud mshahara JF-Expert Member Joined Mar 31, 2018 Posts 4,712 Reaction score 2,010 Jul 8, 2018 #5 aretasludovick said: Kwa hiyo hii nayo umeileta intelligence forum? Click to expand... Ahahhahahahahah hatar sana
aretasludovick said: Kwa hiyo hii nayo umeileta intelligence forum? Click to expand... Ahahhahahahahah hatar sana
Mwanga Lutila JF-Expert Member Joined Nov 10, 2016 Posts 4,291 Reaction score 14,786 Jul 8, 2018 #6 Ungekuwa Muumini wa Kweli ungelikuwa na Kijitabu kinachoonesha Miaka ya Kanisa. Nenda Kanisani utakipata.
Ungekuwa Muumini wa Kweli ungelikuwa na Kijitabu kinachoonesha Miaka ya Kanisa. Nenda Kanisani utakipata.
This is... JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 5,185 Reaction score 5,431 Oct 27, 2020 #7 Sergei Lavrov said: Kwa hiyo hii nayo umeileta intelligence forum? Click to expand... Kwan kuna kitu intelijensia inashindwa 🤣🤣🤣
Sergei Lavrov said: Kwa hiyo hii nayo umeileta intelligence forum? Click to expand... Kwan kuna kitu intelijensia inashindwa 🤣🤣🤣
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,822 Reaction score 5,415 Nov 1, 2020 #8 Jumapili ya kwanza ya bunge la ccm