Je utafanyaje kama wewe imekutokea? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je utafanyaje kama wewe imekutokea?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Magulumangu, Mar 25, 2010.

 1. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,041
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ukiwa ghetto umelala na masela usiku unashtushwa na ubaridi pamoja na unyevunyevu kwene TIGO,unaamka lkn ulipoangaza unakuta kila mtu yuko bize na usingizi tena wanakoroma kwa saaana tuu..unaamua kufuta na kulala lkn unatega,kesho yake mpo kijiweni unaongoza kijiwe kama kawa yako from nowhere kanatokea kadogo fulani kanaanza kusumbua unakaambia ntakutia mateke wewe?Bila wasiwasi dogo anasema unajifanya mjanja mchana lkn usiku huna lolote...je mkuu utafanyaje hapo?kumuazibu huyo dogo au unalipiza night na wewe kwa mwingine?
   
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,576
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Huu upuuzi umerudiwa hapa mara tatu. MODs please be serious.
   
 3. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,383
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Sh***nz kabisa hii
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Mar 26, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,054
  Likes Received: 3,804
  Trophy Points: 280
  Are you serious? Haya mambo kayadiscuss vijiweni, hapa watu wapo serious kiaina!
   
Loading...