Wasalaam
Nimemsikia mtu wa Mungu akitabiri laana kwa wote waliohusika kufunga kanisa la ufufuo na uzima watapata laana na kuumiuzwa na mungu.
Ikumbukwe mh Lema ameshatabiri mengi kuhusu viongozi na yakatokea. Amesema unaweza kufunga kanisa lakini si nguvu za mungu .,
Muda ni rafiki mwema tutege masikio.
View attachment 3356139