Wanawake wajawazito maigizo mengii, kisingizio hormones.Kuna wakati unatamani hata usilale kitanda kimoja, maana geuko lake tu unahisi anatafuta ugomvi. Hormones are crazy, cha msingi ni kukwepa makofi tu hadi miezi tisa iishe!
Kama before hakuwa hivyo inaweza kuwa ni kisingizio kweli?Wanawake wajawazito maigizo mengii, kisingizio hormones.
Kabisa chiefWanafanya makusudi wanakuwa na visirani vyao vya muda mrefu tu ,mimba kama kizingizio tu.
Mke wangu alinipiga mwiko wa kichwa bila sababu nikamrudishia kibao matata sana tangu siku hiyo mimba zake zote hajawahi kuniletea visirani
Dah! Sijui nikujibu niniKama before hakuwa hivyo inaweza kuwa ni kisingizio kweli?
vyovyote tu unavyowezaDah! Sijui nikujibu nini
Hata kwa kunidanganya sawa, ili mradi uongo uwe na logic.Dah! Sijui nikujibu nini
Kuna mambo ni kawaida 99% kuletwa na ujauzito mfano; usingizi kupita kiasi, kupenda au kuchukia vyakula fulani.Hata kwa kunidanganya sawa, ili mradi uongo uwe na logic.
Sawa nimekuelewa, mfano wewe kabla ya ujauzito ulikuwa unaipenda labda perfume yangu fulani lakini baada ya kuwa mjamzito ghafla unachange yani nikiwa karibu yako ile harufu inakuwa mbaya sana kwako kiasi kwamba hautaki nikukaribie.Kuna mambo ni kawaida 99% kuletwa na ujauzito mfano; usingizi kupita kiasi, kupenda au kuchukia vyakula fulani.
Imezoeleka kuongelewa kwamba ujauzito huleta tabia ambazo mwanamke hakua nazo kabla sasa hapo ndo wanawake wengi huwa tunatumia kigezo hiki kuhalalisha baadhi ya tabia tulizokua tunajizuia kuzifanya mwanzo.
Mfano; Ugomvi, uchafu
Inategemea! Ila kwa mfano huo wa perfume asilimia kubwa hasingiziiSawa nimekuelewa, mfano wewe kabla ya ujauzito ulikuwa unaipenda labda perfume yangu fulani lakini baada ya kuwa mjamzito ghafla unachange yani nikiwa karibu yako ile harufu inakuwa mbaya sana kwako kiasi kwamba hautaki nikukaribie.
Situation za aina hii huwa mnasingizia kweli Ephen?
Na hayo wanafanya wale wenye maisha safi hawa wengine pangu pakavu au mimba kapatia nyumbani hawana hizo mamboWanafanya makusudi wanakuwa na visirani vyao vya muda mrefu tu ,mimba kama kizingizio tu.
Mke wangu alinipiga mwiko wa kichwa bila sababu nikamrudishia kibao matata sana tangu siku hiyo mimba zake zote hajawahi kuniletea visirani
Shindii na jina lako baya hilo!!Nilishawahi kupendwa, mpaka akamkatia mwanae jina langu