Je, Urusi itaivamia Ukraine

ulisema kweli tupu.jamaa kavamia na.NATO na US wamekunja mikia tuliii
 
Zelensky adai kuwa eti takribani wanajeshi 1300 wa Ukraine ndio wamekufa toka operesheni maalumu ya kijeshi ya Russia kuanza nchini Ukraine.

Mwambieni hiyo 'figure' yake abaki nayo mwenyewe, sisi hatuna shida ya kujua wanajeshi wake wangapi wamekufa. Tunachoangalia ni kufikia malengo makuu ya operesheni hiyo ambayo rais Putin alishayaweka wazi tena na tena.

 
#Paul Alex great thinker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…