Ameniacha saa hiii et mimi simuamini alitaka nimpe nimkopeshe million 3 ndio nioneshe uaminifu nikasema tu sikupi hizo basi mpka leo ananitafuta ajisikiapo
Kama tunakubaliana kwamba kuna viumbe vinatoweka duniani kutokana na mazingira na tabia ya nchi bila shaka yoyote lazima pia tukubaliane kua hata upendo Wa kweli na wenyewe unatoweka na itabaki historia.
Miaka mingi inayokuja kuna watu watasoma kwenye historia kua zamani watu walikua wanapendana Kwa dhati watacheka sana na kushangaza maana Hizo stori zitaonekana kama za kutunga miaka hiyo.