Je, upendo wa kweli upo?

Je, upendo wa kweli upo?

Dunia ya leo usaliti limekuwa Jambo la kawaida mno hata kwa wanandoa. Vip unamuamin mwenza wako, viashiria vip huondoa imani kwake?
Bado hujaeleza vizuri usijibanebane we eleza vyema kilichokupata humu tayari ile no reform no election inafanya kazi, so funguka!
 
Ameniacha saa hiii et mimi simuamini alitaka nimpe nimkopeshe million 3 ndio nioneshe uaminifu nikasema tu sikupi hizo basi mpka leo ananitafuta ajisikiapo
 
Kama tunakubaliana kwamba kuna viumbe vinatoweka duniani kutokana na mazingira na tabia ya nchi bila shaka yoyote lazima pia tukubaliane kua hata upendo Wa kweli na wenyewe unatoweka na itabaki historia.
 
Miaka mingi inayokuja kuna watu watasoma kwenye historia kua zamani watu walikua wanapendana Kwa dhati watacheka sana na kushangaza maana Hizo stori zitaonekana kama za kutunga miaka hiyo.
 
Back
Top Bottom