kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,736
- 2,905
madokta wa jf pamoja na wadau wengine hivi nasikia unywaji wa maziwa mtindi na fresh mara kwa mara kwa wanaume unasababisha ugonjwa wa tezi dume naombeni ufafanuzi
me nilisikia hawa ng'ombe wanachoma masindano ili watoe maziwa mengi kwa hyo masindano yanasumu ambayo ukinywa maziwa mtindi au fresh waweza kupata tezi dume miaka ya baadaeWamasai na Watutsi wangeongoza kwa Gonjwa hilo
Aaaa kumbe miaka ya baadae? Sasa unaogopa nn, bado muda, huko mbelenime nilisikia hawa ng'ombe wanachoma masindano ili watoe maziwa mengi kwa hyo masindano yanasumu ambayo ukinywa maziwa mtindi au fresh waweza kupata tezi dume miaka ya baadae
ndiyo nilikuwa nataka uthibitisho hapa maana kuna doctor anaitwa boazi yupo facebook alikuwa anasema hivyo unywaji mtindi au maziwa fresh maramara kwa mara huchangia ugonjwa wa tezi dumeulisikia wapi?? Ulithibitishaje