Aiseee
kuna la kujifunza hapo. hahahaha!!!Binadamu bwana!!! wameanza kumshobokea baada ya kumjua!!! Hahahahahaa
Mwanzo alidharaulika na wala hawakuwa kabisa na muda wa kumpiga picha.
Baadae alipojivua ndio wameamuanzishia shobo kufikia mpaka kumbana na mapicha juu.
Hii ni hali halisi ya maisha yetu tunayoishi kila siku.
Huthaminiki mpaka uwe na kitu.
Tuwe tunajitahidi kujifunza kwa matukio au mifano inayotokea, kwani sisi binaadam wote ni sawa.
Na tujitahidi pia tuwe na upendo kwa wote hata kama Imani zetu hazifanani, Rangi zetu hazifanani, tujitahidini upendo. Inawezekana