Je, ungekuwa wewe ungefanyeje?

Je, ungekuwa wewe ungefanyeje?

Vip, lakini anasema amekwisha Achana na lecture sasa yuko huru/free.
Wanaume bwana acha tu,kumuacha mtu alie msaidia sana ni kazi maana siku ukikwama akiitwa na yule ataenda ujue!!ajira zenyewe hatuja pata toka 2015.mshirikishe Mungu maana hapa ni akili za kibinadamu tu
 
hayo mambo ni rahisi kusikia na kuyaona kwenye vyuo vya kata...

vyuo vya taifa ni ngumu sana....

haya mambo kama yangekuwapo, tusingeona vyuo vya kitaifa kama uDSM, vinang'ara kwenye nyanja za kimataifa...
 
hayo mambo ni rahisi kusikia na kuyaona kwenye vyuo vya kata...

vyuo vya taifa ni ngumu sana....

haya mambo kama yangekuwapo, tusingeona vyuo vya kitaifa kama uDSM, vinang'ara kwenye nyanja za kimataifa...
Kwani malecture wa UDSM wao hawatamani mabinti wa chuo?
Au wao mapdre?
 
Mimi nakula papuchi kwanza ndio mambo mengine yanafwata..
Siwezi kusumbuka miaka mi3 alafu nitoke kapa bila papuchi
 
Mkuu ogopa sana Mwanamke anayekuambia nilikuwa na mtu X ila nimeachana naye ila sasa tulisongeshe... Mbele ya safari hashindwi kutoka na mwingine kisha akaja kukuambi nilimpa kimoja tu.. Sina mpango naye.. Bora anauekaa kimy na kuyamaliza mambo yake kimya kimya
Kwa hiyo utaachana naye kabisaaaaaa?
 
Back
Top Bottom