saddyy
Member
- Dec 28, 2014
- 58
- 54
Upo kazini umeacha familia yako nyumban mara gafla unapigiwa simu, kutazama unakutana na namba ngeni na kuamua kuipokea ndipo unakutana na sauti ya msichana ya kuvutia lakini kabla hajasema shida yake anaamua kukata ile simu.Unashikwa na hamu ya kujua ni nani ka hali ya mchepuko kanakujia ghafla na kuamua kuipiga ile namba tena kwa mara nyingine inakuwa haipatikani.
Siku hiyo hiyo usiku ukiwa umelala chumba kimoja na mkeo meseji inaingia tena kwenye simu yako kwa ile namba iliyokupigia mchana ikikuomba umpigie kwa mda ule na kusisitiza kuwa ana hamu ya kukufahamu.Kila ukimtumia meseji ya kumdanganya upo sehemu mbaya hasikii a na kubipu mara nyingi, uzalendo unakushinda, unamuangalia pembeni mkeo kalala fofofo kajifunika shuka hadi usoni.
Unaamua kaondoka kwa kunyata mpaka sebuleni kwenda kuipiga ile namba kwa lengo la kumwambia kesho mkutane. ile unafika sebulen na kuanza kuipiga ile simu ndipo unakutana na saut, mume wangu acha mchepuko nilikuwa nakupima tu rudi tu chumbani tulale.