Ndege Tausi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 992
- 476
Anakupenda ila atakuwa ameanza kujisahau. Kama ni kwenye kuota moto basi hachochei kuni tena.
Sasa cha kufanya nipe namba yako niwe nakupigia hadi saa tano za usiku akikuuliza ni nani unamjibu ni baba mmoja hivi wa JamiiForums. Lazima ataomba poo.
Nimeipenda hii, dawa ya moto ni moto.
Akitoa namba ameliwa, ila na yeye kama anataka kuichepusha papuchi atoa namba
Hana adabu kabisa, anawezaje kupokea simu za wanawake hata kama ni wakazini kama maongezi sio yakikazi lazima nipachimbe bila jembe, Hawa watu wanaonaga sisi tuna mioyo ya chuma, huyo wewe mtafutie advertise moja hadi aombe pooo, Amua kujifanya upo bize na simu kuliko kawaida yaani akiita huitiki hadi aite mara tatu ndio unajifanya umeshtuka " abee unaniita?????? " ikibidi kama unarafiki yako wa kike ambae anakupigia sana simu, jaribu uwe unaongea nae as if unaongea na mwanaume, yaani mpenzi, sweet, honey nyingiiiiiii akikuuliza ni nani, unamjibu ini shorti "ni rafiki yangu" alafu unanuna. ila kama anamaguvu hakikisha uwe na helment maana wanaume wengine ni weka mbali na watoto hawataniwi.
Anakupenda ila atakuwa ameanza kujisahau. Kama ni kwenye kuota moto basi hachochei kuni tena.
Sasa cha kufanya nipe namba yako niwe nakupigia hadi saa tano za usiku akikuuliza ni nani unamjibu ni baba mmoja hivi wa JamiiForums. Lazima ataomba poo.
We mtie ujinga mwenzio haache.
Akili zakuambiwa achanganye na zake.
Ujinga gani unazungumzia??????
Kwani yeye anamoyo wa chuma, afanye hivo ili na yeye roho imuume.
Mwanaume ni mwanaume, kuna njia nyingine ya kumueleza sio hiyo maana hapo utaonekana kama unataka kushindana naye.
Kwani ameshamueleza hiyo tabia kwamba haipendi....au ndio mpaka kwa hishani ya watu wa marekani ndio muongee.