Kama Mo, Manji,Mengi wote vibonge sio.....Mimi masikini wengi huwa nawaona ni wembamba, na baadhi ya matajiri nawaona ni wanene sasa mimi huwa napata Picha kuwa kuna uhusiano fulani kati ya unene au wembamba na kipato cha mtu
Habari Wakuu,
Katika jamii ya Kitanzania kama sio Africa nzima tumekuwa tukishuhudia watu wanaobahatika kuongezeka ukubwa wa mwili pamoja na kuota vitambi wakisifiwa na kuonekana kama wametusua kimaisha hivi.
Hata leo hii wewe uliekuwa kimbaumbau halafu baada ya kipindi fulani ukaanza kutoka mashavu na kuota kifriji tumboni utaona raia wanavyoanza kukupongeza na kufurahia hayo mabadiliko yako ya kimwili.
Swali ni kwamba, Je ni kweli ubonge ni kitu cha kukishabikia na kutoa hongera kwa wale waliofanikiwa kuukimbia ukimbaumbau na kuwa vibonge? Hasahasa tukijaribu kuangalia na namna ambavyo ubonge unavyohusianishwa na maradhi mengi huku vibonge wengi wakitenga bajeti ya kutosha kwa ajili ya kwenda gym na kufanya 'diet' ili kupunguza ukubwa wa miili yao.
Maoni yenu wadau.
View attachment 503717
Watu walioishi kwa shida ndio wakipata visenti wananenepeana kama nguruwe. Ndio maana dhana hii iko Afrika. First world masikini ndio wananepeana hovyo.
Kuna point hapaCheck watu kama Aliko Dangote,Mohamed Dewji,Reginald Mengi,Diamond Platnum,Bill Gates?
Halafu mwanaume ukinenepa sana ka shafti kanakuwa kadogo utafikiri kitovu,wengi wanaishia kupigiwa tu na mashamba boi wao,watu wanabaki kusema ohh wanawake wengine ovyo kabisa,nyumba kajengewa,gari kanunuliwa na miradi kafunguliwa ,vyakula ndani kibao ,matunda kwenye friji hayakatiki,wewee,watu wanahitaji matunda ya kwenye boksa.
Lol! kuna ka ukweli hapo! hivi ni Rondo hii ya Mtama?Watu walioishi kwa shida ndio wakipata visenti wananenepeana kama nguruwe. Ndio maana dhana hii iko Afrika. First world masikini ndio wananepeana hovyo.
Hua nawaambiaga watu wengne wanabisha, hlf nawaambia kafanyen uchunguz uje ubishe tena, wakirud lazma waungane na mm, Mijitu minene , ila kwa uzoefu wangu n wale wanaoupata unene kweny harakat za maisha, tofaut na unene wa asil, huwa hawanaga akili asee, akil zao zinapungua au kuisha kbsa zinabak za ku moderate mwili, yaan muda wote yy hufikiria mwili tuu, either avaeje apendeze kulingna na unene wake, ale nn ili apunguze, amaintain au aongeze mwili tena,Mimi masikini wengi huwa nawaona ni wembamba, na baadhi ya matajiri nawaona ni wanene sasa mimi huwa napata Picha kuwa kuna uhusiano fulani kati ya unene au wembamba na kipato cha mtu
Duh wewe peke yako ndio umejua siri ya jina langu.Lol! kuna ka ukweli hapo! hivi ni Rondo hii ya Mtama?
ila mm wanaume wenye vitambi hapanaHaha ha umeonaeee
Mkuu punguza hasira kidogo......M
Mijitu mingi / asilimia kubwa, ikinenepa kupita kiasi huwa naona inakuwa mipuuzi puuzi tu hata uwezo wa kufikiria unakuwa duni,sijui ni kwa nini.Hata kufa kwao mingi huwa inafia chooni ikiwa inak...nya, yaani ni Ghafla pwaaa!
Ulishawahi kushuhudia miss Bantu?Unene ni maradhi kama yalivyo maradhi mengine.
Hata wanawake wabaya wengi ni wale wanene...........umewahi kumwona mlimbwende bonge?