Tatizo ni dhana iliyopo kwenye jamii zetu kuanzia ngazi ya familia!
Tafsiri ya mafanikio hutokana na mtu anavyo ifafanua kichwani mwake!
Kuhusisha unene na mafanikio sidhani kama ni sahihi!
Binafsi huwa napata tabu sana pale napokutana na mtu kisha akanishangaa eti nimekonda! wakati tangu nipate akili sijawahi kunenepa!
Wakati fulani mtu aliwahi kuniona tu kwenye luninga na kuna nyakati camera hukufanya uonekane mnene kiasi au mweusi/mweupe nk. akastaajabu kwamba kajitu kenyewe ndio haka kembamba kana mwili mdogo! sijui alidhani ntakua na mwili tembo au nyati!
Jamii zetu zina tudharau kweli vimbau mbau!
Ingekua ni mimi mjadala huu ninge uweka hivi: Nini kipimo cha mafanikio?
Hahaha! kwenye uwezo wa kufikiri plus Upuuzi (nadhani umbea umo ) hayo mengine uliotaja sina hakika nayo!M
Mijitu mingi / asilimia kubwa, ikinenepa kupita kiasi huwa naona inakuwa mipuuzi puuzi tu hata uwezo wa kufikiria unakuwa duni,sijui ni kwa nini.Hata kufa kwao mingi huwa inafia chooni ikiwa inak...nya, yaani ni Ghafla pwaaa!
Ha ha eti ikiwa inakunyaM
Mijitu mingi / asilimia kubwa, ikinenepa kupita kiasi huwa naona inakuwa mipuuzi puuzi tu hata uwezo wa kufikiria unakuwa duni,sijui ni kwa nini.Hata kufa kwao mingi huwa inafia chooni ikiwa inak...nya, yaani ni Ghafla pwaaa!
Ha ha ha hakunaga mlimbwende bonge..sijawahi kuwa na mwanamke bonge hata kuwatongoza tu nawaogopaUnene ni maradhi kama yalivyo maradhi mengine.
Hata wanawake wabaya wengi ni wale wanene...........umewahi kumwona mlimbwende bonge?
Tatizo la wengi ni kuwa misinformed. Uongo unakuwa ukweli na ukweli unakuwa uongo.Ha ha ha hakunaga mlimbwende bonge..sijawahi kuwa na mwanamke bonge hata kuwatongoza tu nawaogopa
Check watu kama Aliko Dangote,Mohamed Dewji,Reginald Mengi,Diamond Platnum,Bill Gates?Mimi masikini wengi huwa nawaona ni wembamba, na baadhi ya matajiri nawaona ni wanene sasa mimi huwa napata Picha kuwa kuna uhusiano fulani kati ya unene au wembamba na kipato cha mtu
Haha ha umeonaeeeKitambi heshima.
Mkuu usipotee please,hebu Ongelea mijamaa yenye mitumbo mikubwa utafikiri imebeba mizigo ya mwizi,na mashavu manene utafikiri kameza paka wa muhimbili,achana na hawa wauza sura wenye rangi za kuchovya na kubandika vi-plastic hairs akiwa anaongea anatikisa vinywele kawa wazungu wakati hakuna kitu nyambafu zao mimavi tu.Tatizo la wengi ni kuwa misinformed. Uongo unakuwa ukweli na ukweli unakuwa uongo.
Kuna mengine huwa yanajichubua ili kuwa warembo mwishowe wanaanza kuwa na rangi zote za bendera ya taifa.