Je unazijua sheria zisizo rasmi za mpira

Digging deeper

JF-Expert Member
Jul 15, 2020
787
510
Kama kinavyojieleza kwenye kichwa.
utoto Ni sehemu ambayo mtoto hujifunza vitu mbalimbali,kipindi hichi watoto ucheza kwa pamoja mfano kwenye mpira uwa na sheria zake.

1...Hurusiwi kuvaa viatu,mwenye
mpira pekee ndonarusiwa kuvaa viatu.

2..ikitokea penati mtu yoyote anarusiwa kudaka penati.
3...Hakuna ufusaidi mtu akizidi
4..Hurusiwi kupinga ndochi.
5..hakiitwa mwenye mpira,mpira unaisha hapohapo.
6..Kama unaugomvi na mwenye mpira Hurusiwi kucheza,
Kama na wewe unazikumbuka zitaje sheria za mpira za utoto
 
Teknolojia imeharibu vijana sana,
Kwa uandishi wa kutumia keyboard unahangaika kiasi hiki, je ukipewa white paper isiyo na mstari hata mmoja na kalamu ujieleze kwa maandishi si bora bata aliyetoka kwenye dimbwi la tope akanyage shuka jeupe lililoanikwa kwenye nyasi fupi kuliko huo uandishi wako?
 
Bora message yake imefika
 
Nimerekebisha hapo juu
 
😁😁
 
Kama kinavyojieleza kwenye kichwa.
utoto Ni sehemu ambayo mtoto hujifunza vitu mbalimbali,kipindi hichi watoto ucheza kwa pamoja mfano kwenye mpira uwa na sheria zake.

1...Hurusiwi kuvaa viatu,mwenye
mpira pekee ndonarusiwa kuvaa viatu.

2..ikitokea penati mtu yoyote anarusiwa kudaka penati.
3...Hakuna ufusaidi mtu akizidi
4..Hurusiwi kupinga ndochi.
5..hakiitwa mwenye mpira,mpira unaisha hapohapo.
6..Kama unaugomvi na mwenye mpira Hurusiwi kucheza,
Kama na wewe unazikumbuka zitaje sheria za mpira za utoto
mpira unaisha jua likizama,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom